ukishaoa kama wewe ni muislamu shurti ukamailishe sherehe kwa kula solo namna hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. yamiii bro michu, sasa hayo ndo mapochopochozz, sio mtu kala wali wa nazi, na maharagwe ya nazi yalotiwa thomu na bizari, anajitapa ninkula mapochopocho, wapiiii hizo ndo pochozzzz yenyewe shuruti mkono utembee ka mara saba hapo weweeee, ila mpishi hapo kasahau kuweka chuzi la akdi kama ni harusi kweli kwenye bakuli kuuuubwa katikati ili kuhitimisha hilo soro la manyamanyama.Mh! ila michu nimekustukia hayo sio makombo ya ftari ya subhi ya idd-el-hajj?

    ReplyDelete
  2. Hili uswahilini tunaita draft, yaani lazima mkono utembee kona zote mpaka unaingia King, pia unaweza kula double au triple, unakula ukiona kama umeshiba unaamka kisha unarukaruka chakula kikae vizuri kisha unaanza tena weee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...