Home
Unlabelled
nondozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera sana wadau hizo ndiyo degree za kujenga nchi.mumefanya mitihani yenu darasani na hakuna cha "take home exams" kama jamaa zetu tunao wajua.Big up brothers.very good!
ReplyDeleteyeyeoo, mitaa ya LAVWAA hapo, namis sana hom hasa watu wangu wa saut...nitarudi wazee tuendeleze libeneke...big up wazee wa mass com..naomba niulize wale watu wa bba waliruhusiwa kugraduate? manake wakati naondoka kulikuwa na walakini km wataruhusiwa kugraduate!!!!
ReplyDeletePoleni sana mtakosa kufaidi uroda.
ReplyDeletehawa jamaa mbona wamechoka sana hawa...lakini wajomba hongereni sana na tunatrajia mtasaidia kufundisha shule zetu za sekondari huko wilayani
ReplyDeleteHongereni sana. mmenikumbusha mbali pale Malimbe. Ama kweli elimu nzuri inatoka 'porini', lakini nasikia siku hizi mapori yanakatwa ile mbaya na chuo kupanuliwa...Mass Com mnatisha, lakini kasoro yenu moja tu. MNASHINDWA KUTUMIA SIKU YA GRADUATION KUTANGAZA CHUO. baba fau
ReplyDelete