
kwanza kabisa hongera kwa blog yetu ya jamii wa kibongo duniani. Mimi Jabir Kupaza na wakina Kupaza wa Holland tunawatakia watanzania wote heri ya mwaka mpya. kwangu mimi mwaka 2007 ulikua wa mafanikio kwani nilipata nondo ya MYP hapa International School Groningen.
MYP ni Middle Years Programme inyitolewa na International school kabla ya kuingia University. Sasa mwenetu vipi mbona umevaa joho la terminal degree, yaani doctorate?
ReplyDeleteWe wa kwana kutoa komenti acha wivu
ReplyDeleteWe wa pili kutoa comments acha ubishi, yawezekana wa kwanza kutoa maoni anajua vizuri mambo yanavyokwenda. Mbona kauliza na kutoa ushahidi vizuri, mwace mwenye picha hapo juu atetee joho hilo
ReplyDeleteMmh hayo inabidi tuyaache kwani ni magumu kwelikweli kwani vikinda bongo vya nursary navyo vinajibariki na majoho sembuse huyo mheshimiwa
ReplyDeleteKijana Mzuri sana huyu, ningependa kujua age yake isije kuwa ni under age! eti handsome una miaka mingapi jamani ,mbona unaonekana kama ni mdogo?
ReplyDeletehata mimi nilishangaa kijana mdogo hivyo kashaula? I think this has something to do with the dutch education just like SAT in the US.
ReplyDeleteCongratulation to you
Dogo acha uhuni, hilo joho na stripes zake tatu mikononi ni la doctorate hilo, usitake kuwafunga watu kamba hapa...
ReplyDeleteDogo mhuni tena BITOZZ wa karne mpya, kwanini usiende na mambo yanayokuhusu? Unajua yule mtoa maoni wa kwanza kabisa juu ni Prof. Ndio maana alipouliza alikuwa hapindi pindi. Sasa we dogo unaleta hizo! Habari na kivazi haziendani mwanangu!
ReplyDeletemweeee, kaserengeti boi haka jamani, naona kameshachukuliwa na wasichana wakizungu. haka katoto ni handsome, kama uko single kijana tuwasiliane kwenye soys2006@yahoo.com
ReplyDeletehivi hoja ni joho au nikile alichopata? baadhi ya nchi kama marekani mtu hata kapata high school diploma anavishwa joho, sijui hio shule nayo iko kwenye huo mfumo.
ReplyDeleteHongera kijana kwa ulichopata
Huyo mtoto ni GENIUS! Anapata Ph.D akiwa na miaka 15!
ReplyDelete