Sisi ni wadau kutoka Toronto, Canada tunakutakia kaka Michuzi na familia yako pamoja na wadau wote wanaotembelea globu hii popote ulimwenguniheri ya mwaka mpya.
Tunamuomba Mwenyezi mungu atujaalie mwaka wa 2008 uwe wa amani na utulivu duniani kote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...