Home
Unlabelled
salamu toka toronto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
rudini home mmesha zeeka kukaa nje
ReplyDeletewe Bongo Boy, watu wametoa salaam za mwaka mpya...we unakurupuka na kusema warudi nyumbani wamezeeka, kuna sehemu wamesema hapo kuwa HATURUDI TENA NYUMBANI au? we ndo walewale mnaosemwa mna Kichaa Cha Ughaibuni..wewe upo hukohuko nje tena yawezekana upo hapohapo Toronto, na una CHUKI BINAFSI na hawa jamaa......wamezeeka kwani wananyoa ndevu kwa kutumia panga?haya bwana we si unajiona kijana, endelea na shughuli zako/vituko vyako unavyovifanya huko, tuone miaka 10 ijayo, utakuwa hivyohivyo ulivyo au nawewe utakuwa umezeeka. Kwaheri...
ReplyDeleteweee fala hapo juu unaumwa nini??warudi bongo wakafe na ma umeme yasio na uhakika.life span yenu kiduchu.Mbona huwaambii wahindi na waarabu warudi kwao huku wana vitukuu fala kabisa wewe.
ReplyDeleteWAZEE WA CANADA PONDENI MAISHA KWANZA HUKO MTAPATA PENSION YA UHAKIKA NA MENGINE MENGINE MENGI TUU.WALA VUMBI MJINYONGE,na VISA zimekuwa ngumu si mchezo,za UK mpaka wakupime ka- Ngoma.ukinyimwa ujue imetoka hiyo ikirudi pancha.
Wala vumbi poleni na matatizo lazima mjue UJANJA kuwahi.
Wenzako weshafika wewe unawaambia rudini home hao wahindi hapo vibabu mbona huwaambii nendeke home kwenu....
ReplyDeleteKila ndege anatua kwenye mti anaoutaka......wao wametua kwenye mti unaita......hehehehehe....wewe jibane hapo hapo ulipo tu acha wenzako wakizeeka unakatwa kodi wewe???? Hao hapo bado vijana saaana huku ...hivi hao wenye umri huu ndio vibabu vyenu huko bongo???? Basi hujaona wazeee pole sio kosa lako
Tatizo la huyo jamaaa hapo juu ni wivu na chuki
ReplyDeletesi ajabu mwenyewe kakongoloka kuliko hawa.
Weka picha yako tukuone bongo boy au unatumia intenet cafe...mpaka picha iwe uploaded masaa yameisha unafukuzwa kwenye computer za watu...
Sasa mjomba,hii karatasi unayoishikilia umeshakupatia haki???na wenzako je...mama watoto hapo nyumbani Mbeya alikuwa na uliza kama mumeo hajambo kule kanada...umeshatuma vifurushi nyumbani au bado mnanga'gania vizee vya kialbino!!!
ReplyDeleteNawaona mmetulia wazee: Moddy Kassim, Ebby Mkandara na Dr. Mchaina, Shukrani kwa salaam za mwaka mpya, endelezeni libeneke 2008.
ReplyDelete