kundi kubwa la wadau wa dar liko a-taun kusubiria krismasi. hapo ni klabu ya bughaluu maeneo ya njiro kompleksi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. yakhe anayemkumbatia demu amevaa nini???

    ReplyDelete
  2. Danny Boi i c u!! William my man..i c u.. long time guys!.. Merry Xmass y'all!!!

    ReplyDelete
  3. the bottom pix samira looks happy..It’s surprising her relationship with henry lasted this long!

    ReplyDelete
  4. Ingekuwa wadau wa USA wameweka snap
    ya matanuzi mijitu ingianza hooo mu-invest home, muache kutanua na blah blah kibao.

    Lakini walavumbi wakiweka ka snap kao ka matanuzi mijitu kimya.

    Walavumbi acheni undumila kuwili.

    Y'all want to come to the States but you can't. All you can do, just chill out and leave us alone.

    Just go on with your little "matanuzi" we ain't mad at ya.

    I'm out.

    US.

    ReplyDelete
  5. Ndio maana Mlatie analalamika kwamba mauzo ya bia yameshuka sana pale Rose Garden, Dar......kumbe walevi wote wamehamia Arusha....Naona Sales Manager wa TBL Arusha safari hii atapandishwa cheo maana lazima atavunja rekodi ya mauzo ya biaaaa!!!!

    Yaani hao wadau hapo wana uwezo wa kunywa bia nyingi kuliko wale jamaa zetu wa Mererani wanaotegemea shimo liteme!!!!

    Xmass Njema Henry, Andrew, Samira and the rest of the crew...

    Ni Mimi Ally wa RG counter...!!!!

    ReplyDelete
  6. Oyaaa Henry, tume miss matusi yako pale counter RG.....!!!

    ReplyDelete
  7. duh Gwamaka umenenepa sana, punguza kula nyama choma za A- Town.
    naona wazaee mnakula maini hapo safiiiiii sana Henry umeshaanza masimasi mapema hivi uko safi.haya nawatakia Henry na Gwamaka and ur crew masimasi njemaaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  8. We unaesema huyo kaka amevaa nini?
    Amevaa vazi la kinigeria au hujui nguo unajua tu tshirt na jeans common wear....mwaego Gwamaka u look good na hiyo nguo yako ya kinigeria huyo anaeuliza kwa kebehi mshamba tuuuu.... sijui mbeba maboxi mana wabeba mabox wanajifanyaga wanajua kuvaa kumbe hawana lolote.wakuija bongo wenyewe wankoma tuvyolipuka kwa pamba.

    ReplyDelete
  9. wee unaesema sales manager wa TBL Arusha atapandishwa cheo sababub ya awa watu kwalipi hasa mbona mezani mtu nyomi lakini bia 2 tu si lolote sanasana wanajaza viti vya watu tu

    ReplyDelete
  10. Nawafagilia washikaji zangu wa A-town, Andrew ngalo on the left na mzee William Mwisijo a.k.a Mwanza Boy.........naona mnaendeleza libeneke kama kawa.......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...