wadau wa marekani wapo dar kula krisimasi na mwaka mpya. wanasema siku hizi masnepu kama haya yanatakiwa kupigwa nechuro na sio kwa mwanga bandia wa studio ama baharini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wala vumbi bado kuna mambo ugabuni angalia mambo ya kiwanja watu wanakula suti na mambo kama haya auwezi kuvaa bongo mahana kuna vumbizitachafuka mara moja mtakura vumbi hadi makoo yazibe

    ReplyDelete
  2. Nakuona Marialle jamaa mrefu kuliko wote suti nyeusi, jamaa poa sana, una-represent A-Town(Atlanta -US).

    Asii kumbee, jamaa kibonge amerudi home, kuoa sio, poa sana.

    Mdau

    Atl - Newala.

    ReplyDelete
  3. Can somebody tell me what these guys are doing in the US?

    ReplyDelete
  4. kama sikosei hapa ni kwenye bustani ya gadeni la muvenpiki(sheraton la zamani).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...