Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Sasa mobile namba mbona umeipotosha!!!nikitafsiri tangazo hilo linasema...come and get 'viagra made in TZ Bongoland'
    Nasikia waganga wetu wa jadi wamegundua siri ya mtalimbo unaoweza kufyetua mpaka kaburini!!!

    ReplyDelete
  2. kaka Michuzi leo umenifurahisha kwelikweli, hii babu kubwa,,,sasa kama mimi mbeba maboksi nataka kumfunga mtu wangu wa makaratasi, sijui huyu jamaa atanisaidiaje,,mana niko mbali, na wanasemaga Uchawi hauvuki bahari...sasa hata akinitumia nyezo makali yake yataisha kabla hazijanifikia, du anyway itabidi labda nifanye trip huko...ila sasa huyu jamaa nimejaribu kumpigia naona is not richabo, hemu nisaidie hizo namba ambazo zimefutika hapo ni 00 au? PLEASE NISAIDIE MAMBO SI MAZURI KWA KWELI, NIKIZUBAA, NTARUDISHWA BONGO WAKATI SIJAJIANDAA VIZURI.

    ReplyDelete
  3. We michuzi tangazo gani la biashara hili na amekulipa bei gani?

    ReplyDelete
  4. huo ni uongo hakuna dawa kama hizoo,hiyo ni kuibiana hela tuu

    ReplyDelete
  5. Msijifanye tu hapa.
    Kila wanakwetu 5 ni 2 tu ndio labda hawaamini tupatupa.
    Ndio vizuri lakini masmart wanazidi kuwin. Sababu kila mahali wajinga wanahitajika, kwa kila aina na wa kila aina kwa maendeleo ya wajanja.
    Logeni tu! Endeleeni!

    ReplyDelete
  6. Hahahahahahaah! Raha tupu dunia hii kwa kweli. We Michuzi hujatilia kabisa. Umenimaliza!

    ReplyDelete
  7. Mobile ni 0713...... kwa sasa na si 0741. Nahitaji sana hiyo dawa nguvu za kiume maana naona engine yangu imeanza kutokota siku za karibuni. Tuwekee number yenyewe ya huyo mganga. Huyu anaonekana Mganga kweli, tofauti na wale wa Town ambao wanatuyeyusha tu! Unakunywa siku ya pili unafungua duka kama juzi!

    ReplyDelete
  8. Michuzi hebu tuandikie hiyo namba fresh best manake naona hali si hali sasa. Nataka nimfunge Mume wangu yasije yakanikuta kama yaliyomkuta yule dada ya kuletewa hawala/mke ndani.

    Pulizi pilizi misupu, msaada kwenye tuta hapo baba. Hizo namba zilizofutika sijui ni upepo yarabi au upigaji wako picha eh? Saidia tafadhali mwe!

    ReplyDelete
  9. MImi nata dawa ya kumroga bwanangu ani nunulie kingámuzi ,ili niwe na enjoy movi za kinigeria wakati yeye anaangalia mpira kwa GoTV

    ReplyDelete
  10. Kaka michuzi chukulia kwa makini ya waau hapo juu kuhusu namba ya simu. Naomba kama unaweza upate namba ya huyo mgnga ili wadau twende tukacheki naye huyo mganga...you never know tunaweza tukarudi na mambo/majibu mazuri ambayo yanaweza kusaidia jamii,wanablog hii, ndugu zako au hata WEWE mwenyewe!!!! kwani tutajuaje ???

    ReplyDelete
  11. Ukweli mnaujua kuwa kina sangoma wapo hata USA! Mimi nataka hiyo dawa lakini opposite kuwa kumfungulia hawala maana sina mume mie. Sasa niende wapi na mimi ninahitaji? Homon zangu ziko boba kama kawa na niliyanganywa mume na housegirl wangu!

    ReplyDelete
  12. natamani kurogwa!

    ReplyDelete
  13. KINYUME NA HAKI ZA BINADAMU JAMANI KILA MTU ANAOUHURU NA MWILI WAKE KHA!!

    ReplyDelete
  14. Hamna kitu kama hicho wazushi tu hao,ulivyozaliwa ndivyo hivyo.

    ReplyDelete
  15. Mashalaa! Leo nashukuru nimepata ufumbuzi wa tatizo la mume wangu maana ni kipindi sasa jogoo lake haliwiki.

    Please michuzi hiyo namba tuandikie vizuri. Lakini huyo jamaa anayeonekana akiisoma advert mbana mchovu sana? wachovu kama hawa ndio unakuta wanawafunga wake zao wasifaidi maisha. Hapo ashindwe kabisa na alegee.

    ReplyDelete
  16. Michuzi kwanza kabisha napenda kutoa shukrani nyingi kwa changamoto zako na kuweza kutufanya tujihisi tuko bongo.
    picha zako ni nzuri sana.
    ama kuhusu hii maada ya hizo dawa ni uongo mtupu ambao watanzania unaturudisha nyuma kimaendeleao.
    kuna siku moja jamaa walitaka kumua eti mchawi, jamaa akakimbilia kwenye nyumba ya mwarabu ilikuwa sumbawanga,mwarabu akashangaa akawauliza jamaa kunanini umati wote huu. wakasema tunataka kumuua huyo mchawi anazuia mvua. mwarabu akacheka sana akawaambia katika watu wajinga basi ninyi ndio wajinga. huyu atazuiaje mvua wakati mkojo wake hawezi kuzuia. jamaa wakaangliana na kusema lakini kweli, wakasambaa. ikiwa inaglikuwa ni kweli kitu kama hichi basi tanzania tungalikuwa super power ya dunia. maana tungaliweza kufanya maajabu ambayo wengine wasingaliweza. shukrani mohammed toka oman

    ReplyDelete
  17. Fikra za ngono pamoja na ushirikina naona vimetawala mawazo ya wabongo wengi. picha imewekwa na wengi waliotoa comments zao wangependa kuwasiliana au kupata muafaka wa eidha kumfunga mume au mkeau hata kulogana... mambo haya ya kishirikina yatatufikisha wapi wandugu, je mmejaribu angalau kutafakari madhara ya hizo dawa kuka kwa huyo mganga? au jaribuni kufikiria kuwa endapo dawa hizo zitakapofail kufanya kazi tena, madhara yake kwa mlengwa yanakuwa vipi au ndio tunataka kuongeza idadi ya wendawazimu/machizi mitaani? siamini kuwa kuna dawa ya mapenzi, bali ni wewe mwenyewe, tumia ujuzi wako (kama utashindwa au unaona huwezi tafadhali wasiliana nami)... hii ni promotion kwa kina dada, first come first served basis, and the destination would be satisfaction... guaranteed to prove that mganga wrong.. get a life b**ch!!

    ReplyDelete
  18. Wewe Black Mamba mwenyewe hapo ulipo umeshazidiwa maarifa, hufurukuti wala hugeuki. Pesa zoote zinaishia kwangu leo wasema nini humu mu blogu eeh. Au wataka nimwage radhi hadharani. Nimwage kuku kwenye mtamaa! Ndipo utakapoitamka hiyo b**ch mara hamsini!

    Sasa leo nakufafanulia hayo yote unayonifanyia si mapenzi bali ni mambo ya kwa babu, nikiwasha mshumaa tu basi mwenyewe unapaparika na nitakacho unanipa uwe nazo na hata ikibidi kukopa unakopa. Ngoja niishie hapa nishasema sitaki kumwaga kuku kwenye mchele, lakini wangu umeshikwaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Shangingi!!

    ReplyDelete
  19. Aahhh! Viagra la kienyeji hilo!

    ReplyDelete
  20. Anon wa 6:56 aka Shangingi nadhani unayoyaongea hapa ni kupotosha ukweli au labda kuna ka wivu flani hutaki kina dada wengine wapate faraja katika promosheni hii... naomba umwage mtama huo hadharani maana inaelekea kuwa unasahau kuwa kila tunapokutana huwa unakuja umekamilika lakini baada ya mugongo mugongo huwa unaondoka na unaacha nguo ya ndani... hakuna cha mishumaa wala kulogana wala cha mganga, ni mtalimbo wa haja kwenda mbele. tafadhali uje uchukue vyupi vyako maana vinavuruga hamasa kwa wenzako..silly b**ch!!

    ReplyDelete
  21. michu kisheria huyo mzee hapo kwenye picha umlipe umempiga picha bila idhini yake.

    ReplyDelete
  22. Wewe Black Mamba wacha hizo unataka niseme ile akaunti ya Tanzanite uliyonifungulia? Au ile nyumba unayonijengea Mbezi Beach? Au unataka nitaje aina ya gari uliyoninunulia? Wakati wewe mwenyewe hata nyumba huna, lakini mwenyewe umesarenda! Wacha ninyamaze usije peleka greda kubomoa bangaloo langu kama jamaa mmoja alivyoenda bomoa nyumba yote kule Tabata baada ya kuzinduka.

    Usisahau kudeposit pesa kwenye akaunti yangu mwisho wa mwezi ndio huu na matumizi ndio hivyo tena nataka kwenda kwenye beauty parlour weekend ndiyo hii. Halafu kuna pete ya platinum yenye vito 3 vya almas nataka niinunue nimemuona shoga yangu kanunulia na ATM yake na mie naitaka.

    Nilikwambia utaita b**ch mara hamsini, na bado ukiwa kunako uwanja wa Nakivubo unaita nini huku barabarabi ndio unaniita b**ch!

    See you this weekend ukiwa umeshakamalisha matakwa yangu, nimeshaenda kwa yule babu!

    Shangingi

    ReplyDelete
  23. Shangingi naona hiyo dawa uliyopewa labda ulikunywa mwenyewe kwa kuwa uliyoyaandika naona yanajichanganya maana kuhusu nyumba na gari yote hayo uliyatekeleza wewe na hati zote ukaweka katika jina langu. kila ukitoka kwa huyo babu mshiko wote huwa unaumwaga kwangu. next time ulipewa masharti au maagizo yafuatilie kwa makini maana naona kuna kila dalili za mdogo wangu ANACONDA kuendeleza libeneke kwa upande wako maana nitakuwa bize kidogo na vipapa vingine vipya vyenye kutaka kupatiwa ujuzi katika fani unayoing'ang'ania. Tafadhali ukija wikiendi hii usisahau kuja na kiroba ili uchukue merchandize zako... muhimu!!

    ReplyDelete
  24. Wapi Black Mamba, mwenyewe umekubali kuwa umenijingia nyumba, na leo nimekuta pesa imeishaingia kwenye akaunti yangu. Waswahili wanasema 'kusema mbali kutenda mbali' wajameni mnaona hiyo dawa ya huyo babu inavyofanya kazi? Nitafuteni niwape namba yake. Poa Black Mamba wangu, endelea hivyo hivyo kuwakatisha tamaa wasijeninyakulia king'sti wangu, maana si unajua wabongo walivyo, wakiona mtu anapata kwa shoga yake basi huwa wanamzunguka ili na wao wakafaidi, hapo ulipowaambia hunipi pesa mie ndio nakupa basi umewafukuza kabisa, si unajua midada ya mjini huwa inatafuta ATMs?

    Ntakuja weekend na tuone kama hujaninga'ngania nibaki!!

    Shangingi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...