
mabrouk khamis a.k.a babu njenje akihojiwa na waandishi wa star tv mkesha wa mwaka mpya viwanja vya karimjee kuhusiana na mipango ya bendi hiyo kongwe ambayo mwaka huu inaadhimisha miaka 35 ya uhai wake.
katika mahojiano hayo babu njenje alizungumzia ujio wa albamu mpya itayotoka wakati wa pasaka, maonesho ya kila jumamosi ukumbi wa new msasani (nyuma ya ubalozi wa marekani) kuanzia wiki hii pamoja na ziara za maonesho mikoani ili wapenzi wa huko nao waduarike na njenje kama wenzao wa dar mwezi juni hadi julai.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...