Home
Unlabelled
dk. shein ziarani kilimanjaro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wote wako ziarani eeeh! au bwana mkubwa yee amerudi? kaazi kwelikweli.............
ReplyDeleteMBONA HUO UTEPE NI WA BENDERA YA CCM KWANI HAUNA RANGI YA BULUU! HILO NI GHALA LA CCM? AU TANZANIA TUMEACHA KUTUMIA ISHARA ZA SERIKALI KATIKA SHULI ZA KITAIFA? JUZI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO ZILIJAA JEZI ZA CCM NA MAPAMBO YA CCM HII INAASHIRIA NINI KATIKA UTAIFA WETU.
ReplyDeleteWewe unayesema wote wako ziarani unamaanisha nini? Subiri ufike ngazi hizo uone unafikiri kazi yao ni ya ukarani ya kukaa ofisini? Hizo ni moja ya kazi zao. Wakienda mnapiga kelele wasipoenda mnapiga kelele ooh eneo hili halijatembelewa na kiongozi yoyote mkuu tangu uhuru, watanzania bwana vinywa wazi!!!
ReplyDelete