Home
Unlabelled
duka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uyo mfanyabiashara sio kocha
ReplyDeleteduka la lake au la timu anauza nini
ReplyDeleteHuyo ni enterprenuer wa nguvu! Bongo hapa wandugu. Na akipata mwanamke wa Kibongo, hasa hasa
ReplyDeleteMdigo au Mzigua, basi huyo hatoki kabisa bongo kama wenzake wote waliomtangulia (Tambwe Leya,,,,)
Mithupu ehe!
ReplyDeleteKiswahili cha tmk icho, wambele hawawezi kufaham...gari ikiharibika ukifungua boneti ndio kufungua duka wadau...mmenisomaa???
Si utani hapo ndipo penye alidhani kushindwa kufika Ghana ilikuwa mchezo, atasukuma sana kitara hicho
ReplyDeleteinaonyesha jinsi wanavyomlipa...cheap cange...na quality ya ujuzi itakua cheap vile vile...mwenye market ulimwenguni asingekalia kupata kihela cha kumfanya kuweza kuendesha gari inayoharibika njiani...aibu ...tuwalipe vizuri tupate makocha top of the line
ReplyDeleteHuko ndio kunaitwa kufungua duka nao wadau wa mwanzo lugha ya Tmk imewapita kulia..tatizo mtu mzima huyu hata kuchek oil kwa gari haangalii migari ya bongo/japan mingi imechoka watu wanafanya ubishi tu kujaza ma USED..
ReplyDeletePole kocha hiyo ndo bongo darisalama
Hey did you see the traffic Police behind Suzuki, anasubili mushiko nini
ReplyDeleteHivi jamani wabongo lazima muwakandie watu?Gari ni mashine, hata kama ikiwa mpya inaweza kuharibika!Yaani hamna hata siku moja watu wakatuliza boli wakafikiria kabla ya kuropoka! Na wengine hawajui kiswahili, baaasi taaabu tu!
ReplyDelete