kabla hajawa waziri wa mambo ya nje na hatimaye naibu katibu mkuu umoja wa mataifa, alipokuwa waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto mh. dk ahs-rose migiro alikuwa daima akitembelea shule na kutoa vifaa mbalimbali. hapa yuko shule ya chekechea ya chuo kikuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. du huyu mama ni kiboko hapa alikuwa anafundudisha nasare chuo kikuu na akapanda hadi waziri na sasa waziri wa mambo ya umoja wa mataifa. Hongera sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...