jack pemba akiwa na mai waifu wake victoria pemba, mtoto wake mkubwa wa kiume jack pemba junior na mtoto wake mdogo wa kike gracie pemba wanatuma salamu za mwaka mpya kwa wadau wote pia na pole kwa watani wetu wa jadi kutokana na maafa na misukosuko baada ya uchaguzi mkuu wa jumapili na wanawaombea warejeshe amani na upendo ili afrika mashariki isiwe sehemu ya kuogopwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Tajiri wa Matajiri! mutu ya pakee

    kolo kwiti!

    tunakusubiri kwa pati nyingine ya tupendane mujini kama ile ya jj blue ili uwafunge mdomo wanaosema kuwa umechoka!

    palipali

    ReplyDelete
  2. Kaka mithupu uthinibanie komenti yangu.

    Nakumbuka ulithema umefunga thalamu/heri za Mwaka mpya, inakuwaje thatha unaendelea kuweka hii kitu? Mbona unakuwa kigeugeu?

    Ndio, blog ni yako, kuwa basi na msimamo au kwa vile............, hehehehehe.

    Anyway, wamemodify badala ya kwenda moja kwa moja kutakia heri ya mwaka mpya, wakaingia na GIA ya machafuko kwa watani wa jadi, Kaazi kweli kweli.

    Ujumbe ni ule ule, HERI YA MWAKA MPYA (Hey, not from me best ukanibania, I was, I mean nilikuwa najaribu, Oooops, nilikuwa namkariri jamaa na Mai wife wake)

    Tutafika lakini au sio............

    Big up kaka Mithupu wa maprivelegizzzzzzzzz and ekisepshenozzzzzzzzzz.

    ReplyDelete
  3. Sasa muache kumbemenda huyo mtoto mdogo mwe! kama mdoli.

    ReplyDelete
  4. Mzushi tu huyu. Kuna mwenzake kwa jina la Kajumulo, alikuja kwa mbwembwe kweli kweli utafikiri Holyhood star. Nchi ilotetemeka! Mwaka haukuisha akafilisika kabisa. Mpaka leo hajakanyaga Tanzania tena! Nadhani anajitahidi kubeba ma-box arudi kwenye chat.

    ReplyDelete
  5. Hana mpya huyo. Tunamsubiri

    ReplyDelete
  6. kwahiyo kaka ukaamua kuoa mzungu makaratasi haya najua umeoa mzungu kusaka makaratasi.haya enjoy bwana ila watoto wazuri

    ReplyDelete
  7. Kwani huyu jamaa si alikuwa na Demu wa kibongo au...anao wawili nini.. mmoja wa kutesea bongo na mwingine wa makaratasi unyamwezini. Niliona kwenye blog fulani alikuwa anakula madenda na demu fulani hivi wa kibongo....DU JAMAA SI MCHEZO..MZUNGU KATULIA HUYO LAKINI

    ReplyDelete
  8. Atleast hapo naona anaonekana kama vile ana class kidogo, maana akikanyaga Bongo ni uswahili mtingo mmoja.

    Hongera Mke sio jimama na watoto ni wazuri.

    ReplyDelete
  9. Huyu jamaa ana familia Kumbe ……Wabongo bwana….. Good luck…. Pemba go back to school or do samthing for your life, Bongo kumebadika you are nothing there man stay with your family- Well we know each other very well ..Zote Zafanana

    ReplyDelete
  10. Kuna watu wanaudhi hapa duniani ka nini sijui. Mfano kama huyu jamaa, kisa ana pesa na jina kubwa kakataa kabisa kutuoa sisi wabongo wenzie, huyo kakimbilia sijui kuoa wapi, hivi ni nini lakini?
    Na wewe Michuzi wale wale, ukatuona wabongo wenzio sijui feki, ukakimbilia Uganda, ni nini lakini na wewe Michuzi jamani?, mbona hivyoooooooooo?
    Wabeba box nao ukiwasikiliza duh, mtazamo wa kuja kuoa nyumbani una mashaka, haya hawa wala vumbi wenzangu nao wamedata vile vile, wanawaza tu kuchomoka.
    Hivi nyie wanamme mna nini jamaniiiiiii, sisi dada zenu, no, hapana sio dada zenu nimesahau, sisi wanawake wa kitanzania mnataka nani atuoe sasa kama wote mtataka kukimbia?
    Nasema hivi, mnaniudhi nyie including Michuzi.Waangalie kwanza
    Michu eh, check check basi kwenye wadau aliye serious mi natafuta mume, si unakumbuka address yangu best? Na namba ya simu ni ile ile sijabadili, nibeep nitakupigia au sio, au hata wewe si Muislam bwana, unaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja.

    ReplyDelete
  11. kaka mithupu,yule dada alokuwa nae kwenye article ulotuma tarehe 23.12.2006 ni my waifu wake pia?

    sikujua kama ana my waifu mdhungu na huyu wa Bongo nilijua ni my mchumba wake

    Tisaidie wananchi ili kama ni kutafuta wacgumba watu wasikwame...watu walishamdondokea yule msichana

    ReplyDelete
  12. dada ulieudhiwa. please weka contacts zako humu. Kuna wanaume vile vile wanatafuta wake toka bongo. You never know...

    ReplyDelete
  13. Jack Pemba na wewe una mikwara!!!!
    Tatizo lako hueleweki, huko bongo ulisemekana umetangaza ndoa, huku ughaibuni uko na mzungu, au ndio kimtindo mtindo?

    ReplyDelete
  14. HEE WABONGO GIVE ME A BREAK MBONA MNAMSAKAMA SANA HUYU KAKA? KAWAFANYIA KIBAYA KIPI? MIMI NI NIKI NIKUMWIMIKA NIMETEMEA SANA TU NA JACK PEMBA NILITAKIWA NITUKANE HUMU KWENYE BLOG YA KAKA MICHUZI LAKINI NIMEUCHUNA SASA NYIE PIMBI TENA WABAYA MNAMSAKAMA HUYU KAKA WA WATU BULE MWACHANI KAKA KAPENDA. TENA JACK MIMI NIMERUDI BONGO SIKO TENA AMERIKA UKIRUDI BONGO NIPIGIE NIMEPATA SHAHADA YA PILI YA UHASIBU BADO NAKUPENDA SANA WEWE BADILI MAWAZO TUTAONGEA. AKUPENDAYE NIKI NIKUMWIMIKA WA MISSOURI...LOL!

    ReplyDelete
  15. wanawake wazuri wazuri wameoliew, yamebaki manunga yembe yanhangaika!!! hivi ngoni tribe wapo wapi jamani, watukumbushie, dada hapo juu usilalamike sana, sikiliza hii song

    ReplyDelete
  16. MI NINACHOULIZAAAA????<<

    YULE DEMU MISS MISS HIVI ALIECHEZA NAE KWENYE ILE FILAMU YA ""MISS BONGO"" SI NLISIKIA JAMAA ANATAKA KUOA???

    KWANI JAMAA SI MKIRISTO?? MBONA NAFANYA MAMBO YA KIHUNI??

    NA WEWE MICHUZI SIO KI HIVYO, WE MWENYEWE UMEKATAA SALAM ZA MWAKA MPYA HALAFU UNAWEKA HIYO YA JAMAA, AU KWASABABU ANA MSHIKO??

    HAIJAKAA NJEMA MTU WANGU,
    POA KAMA VIPI.

    ReplyDelete
  17. Mihuzi oh salam za mwaka mpya basi sasa sala ya kuliombea blog mara unaweka jamii zako tutume zetu na snow tunalotimua hapa Uk?

    ReplyDelete
  18. Friday, January 4, 2008 7:30:00 AM EAT,

    Dada! Kuna Wabongo tupo Ughaibuni hatutaki kuoa huku, tunataka kuoa nyumbani. Kama upo tayari weka wazi contacts zako na utapata wachumba kibao!

    ReplyDelete
  19. Poa Mies,huyu Michuzi nimemtumia e-mail address yangu, picha na namba ya simu aweke hadharani naona kanibania, hanitakii mema huyu.

    Halafu wewe unayesema Manunga embe wewe, mwangalie kwanza.

    Michu eh, weka basi mambo yangu hadharani kaka, I mean address, zile picha nimekutumia na namba ya simu. Mwaka huu lazima kieleweke hapa hapa bloguni.

    ReplyDelete
  20. jamani guys leave Jack alone. kama hamjafanikiwa tulizeni boli na mfanye bidii kama alivyofanya. A man has to do whatever to survive so shut up and move on with your lives, stop sticking your noses into people business. whitechapel sisters.

    ReplyDelete
  21. SILENT STALKER SAYS ............

    mimi sielewi naomba mnieleweshe????

    http://www.globalpublisherstz.com/2007/09/05/jack_pemba_afanya_madudu_tena.html

    http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1188968488_jacp2.jpg

    ReplyDelete
  22. Jamani wengine hatujui bongo flavor ....Huyu jack ndio nani...? Mbunge, waziri , mkuu wa mkoa ...mtoto wa baba au ...ni nani tena..???? Whoever it is ...ana mke mzuri sana....

    Na hiyo link uliyoweka ....naona wamwache akikiss mke wake hadharani sio mbaya ...kama ni wake who cares.....huyo mwanamke ndio mkorogo au ...ni the same woman au huyu ni mwingine.....Inaelekea watu wanakujua sana huku....wengi wametoa comments sana inaelekea unajulikana....heri ya mwaka mpya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...