fundi bora wa mwaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Contractors Registration board ya kusajili makandarasi wakiiona picha hii utasikia...fundi hana protective gears na site yenyewe haina majukwaa ya kuzuia wapita njia wasibamizwe na vitu vinavyodondoka..na nadhani hata sign board hakuna!!! mmemchongea huyu mkandarasi na huyo fundi wake wa mwaka!!! utasikia tu Bro. muda si mrefu......

    ReplyDelete
  2. Fundi bora au MPUMBAVU wa mwaka? Utahatarishaje maisha yako hivi?

    ReplyDelete
  3. NASEMA HIVI HUU SI UBORA NI WENDAWAZIMU.

    ReplyDelete
  4. kama michuzi chonde chonde huyu fundi anaendelea nimemuona tena leo,jamani ataleta janga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...