jk akihutubia wananchi wa bukoba vijijini leo hii muda mfupi baada ya kuzindua zahanati ya ibwera iliyopo wilaya ya bukoba vijijini jana akiwa katika ziara ya kikazi ya wiki moja mkoani kagera

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hii mandhari utadhani ni ile video ya Kaaya Sumari "Mr. Politician".

    BIG UP Kaaya umepatia kinoma.

    ReplyDelete
  2. hii mandhari utadhani ni ile video ya Kaaya Sumari "Mr. Politician".

    BIG UP Kaaya umepatia kinoma.

    ReplyDelete
  3. WATANI WANGU INAONYESHA KUMBE KWAO CHOKA MBAYA !PAMOJA NA KUJIFANYA MATAWI YA JUU !DUH, SUMU !!

    ReplyDelete
  4. Sasa hiyo aliyofungua iko wapi!? Mbona kama magofu tu kwa nyuma hapo! Mhh, nchi hii bwana! hata kwa kina baitu kuchovu namna hiyo?! Wapi sasa nafuu?!!!

    ReplyDelete
  5. daa watani hata mabati hawawezi kununu mnamwabisha raisi usomi mwingi lakini kwenu bilabila haya wahaya jengeni kwenu wachana na kujibanana dar!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...