Home
Unlabelled
kantini ifm...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh, yashakua hayo mara hii??
ReplyDeleteLakin michuzi wacha utani bwana, we sema tu ulikua unataka Tuyaangalie BALALI TOWERS ili utukumbushie machungu ya Pesa zetu Jamaa alizokula, ok tumeziona.
hey michuzi,
ReplyDeletekama ni typing error plz badilisha na kama makusudi haya tena, manake haya maneno mimi pia huwa yananichanganya,IFM na IMF, juu umepatia lakini chini hiyo ni Internatinal Monetary Fund,
thanx,
gd-day
Kulikuwa kuna kantini mbili.Moja gorofani ingine ya akina mangi pale chini..Ipi sasa hiyo bro mithupu?
ReplyDeleteIn the background one of the Balali Towers is clearly visible. Yes, "...hapo mwanzo alikuwepo Balali naye Balali alikuwepo benki naye Balali alikuwa benki. Kwake yeye huyo kila kitu kilifanyika wala pasipo yeye hakikufanyika kitu. Basi Balali akafanyika mwili..." Where did I read that? Was it the modern Testament of the Balalia?
ReplyDeletenilisoma hapo for three yrs,na nilikuwa na demu mmoja bomba sana,life was sooooooooo fine maana bia za chinese sijuikama bdo ipo na mishikaki na wali wa kina mangi na mtoli wa asbuhi ilikuwa balaa tuu,anyway its all good sasa nipo unyamwezini with good carrier na familia with 2 kids dont forget my beautiful wife,damn its good to be me,haya bwana tukija tutakuja hapo IFM kukumbushia lakini vipi hilo vumbi chini kwani hawawezi kuweka concrete au majani mazuri na njia nzuri au ndio ufisadi tuu ninaosikia kwenye internet,haya bwana maisha mema wote and holl to all my boys & girls waliowahi kusoma IFM
ReplyDeleteMICHUZI SI UWASAIDIE HAWA WATU !?!
ReplyDelete..kalaghabaho ndo kilugha cha mangwilingwinji gani ??????
mwombe mndenge au mzaramo msaada tutani , usiandike ovyo lugha za watu, unaweza ukatukana bila kujua .