

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nani aksema chakula kinaliwa na cocacola jamani acheni ushamba kama sio juice bora maji tena after 15 mins.
ReplyDeleteKukimbia umande nako kubaya,,,
ReplyDeleteona sasa nashindwa kuelewa dina la mchana, sijui nilaumu wazazi au mie mwenyewe au umande? sijui...
Wote wote watasavaivu kivyao. Kwani wabongo walioko Ohio au popote ughaibuni si wametokea mburahati? Hata wazungu kibao wanakujaga bongo muda kidogo tu wameisha adapti na kiswaili wanaongea na pesa wanatengeza kama hawanama akili nziri kwani bongo ukiwa mzungu na unaongea kizungu mameneja wajinganga wajinga wanajua ni lazima takuwa eksipati, na nyingine kampuni zinataka mzungu wa jina ili zisaminiwe na wazungu wangine walioko bongo sio.
ReplyDeleteHapo itakuwa ni utata mtupu kama siyo balaa,kwa jinsi ninavyofikiria kuwa wadau wa Colorado au Ohio watakuwa na advantage moja kubwa ya ku-savive bongo kwa sababu kwanza walipitia maisha ya bongo hata kama siyo kila kitu hapo bongo,na hao wadau wa Mburahati nadhani itawawia vigumu kwao kwani ni mara ya kwanza kuwa hapo colorado au ohio yaani kwa mfano ni yle msanii ambaye yuko hollywood sasa hivi,si unaona kila bango akiliona anatamani apige nalo picha? na kama tunavyojua mwanzo lazima ni mgumu,hivyo basi wadau wa Colorado au Ohio lazima waweze ku-savive kama loggic ilikuwa ni kusavive!
ReplyDeleteWadau wa Mburahati ukiwabwaga Ohio
ReplyDeletendo kama Chiberiti na screen yake yenye mgongo. Na wale wa Ohio ukiwaleta huku sana sana watakufa tu! Ni Kama hao ulionao hapo!. Kwani wenyewe wametoka mamton gani? Tulirajia wenyewe ndo wawakaribishe wewe na KP kwa kuwa wana hela za box, sasa kumbe wenyewe ndo kaput! Hawana lolote la kuwaza ila kubeba mabox. Hiyo kazi ya mabox mtu yoyote bila kujali uwezo wakufiria anawezaipata na ifanya!
Wabongo wengi ambao uwezo wao wa kufikiria ni mdogo, wamekimbilia huko kwneye ma-box. Uhitaji kufikiria kubeba box. Lakini kuishi hapa kuna mbongo sana. Lazima uwe smart enough to understand rigors of life in bongo. Kuna jamaa anaitia hata aibu.
Siku mmoja hapa hapa kwenye blog alidai kuwa yeye ana MBA yake na kashindwa kupata kazi bongo sasa kaamua kubeba "vile vitu" huko Ulaya! Dah! Aibu sana. Yaani wewe na MBA yako, hapa bongo ushindwe kupata kazi?!?!? Lazima utakuwa umebebeshwa hiyo MBA na kwamba background yako ni mbovu sana! Lazima utakuwa na degree ya Sociology au ungwini mwingine na baadaye ukadandia MBA. Kwenye interview lazima utakuwa kituko tu! Kuna watu wengi wa aina yako wanadandia tu degree, wakidhani ni mambo rahisi. Kumbe si kweli. Hiyo homa imeikumba sana bongo sasa hivi na lazima in a long run tutaishia kupata wataalamu fake kama huyu jamaa aliyekimbilia kubeba box!.
Hata hivyo, Karibuni nyie wabeba mabox mnaopewa offer na KP.
huyo kp hicho kisu sijui uma mkono wa kushoto mbona kakishika ki-mchelemchele au macho yangu tu
ReplyDeleteKP umeishakuwa mkubwa namna hiyo
ReplyDeleteNimeufrahi kukuona maana ni siku tele nimekuona. Hongera kwa utunishaji misuri ya makatuni
Jamani breakfast ni ya asubuhi,Lunch ni mchana,Dinner ni usiku.Sasa itakuwaje dinner ya mchana please mr michuzi badirisha kabda watu hawajatoa comment.LOL
ReplyDeletetuongee ukweli bila fitna yoyote KP na michuzi halafu compare hao mabrother wa majuu kweli kabisa ni vitu viwili tofauti au mnaonaje jamani.yaani jamaa wabongo wanang'aa sana mimi nilivyokuwa bongo du nilipigwa changa la macho watu wanameremepata ile mbaya kuanzia asubuhi mpaka jioni sio hapa unakutana na mtu anaburuta masafety boot yamepauka mpaka zile chuma zimeanza kuonekana sio wanawake kwa wanaume mikono migumuu.jamani watu msisikie kuna watu walikuwa bongo yaani ndio masista do sasa hivi ukiwaona hizo kuchaa zenyewe utafikiri wanachimba viazi uko vijijini aswa nyie vijana somenii wacheni kukimbilia maisha ya nje maisha magumu sana mambo ya kusema utafanya kazi na kusoma uongo mtupu ohhh watu wengi tulifikiria sasa hivi tutakuwa na PHD labda tumeishia kuwa mayaya tu
ReplyDeleteebwana hiyo "exchange programme" hiyo itakuwa kaazi kwelikweli..najua maoni yatakuja mengi tu, ila mimi kwa ufupi nasema, itakapofika siku ya watu kurudi makwao..wale waliopelekwa Mburahati watapanda ndege warudi Columbus, then wale waliokuwa huko Columbus, WOTE watazamia, hivyo kusababisha idadi ya wabeba maboksi kuwa wengi.Ungeniambia exchange kati ya Columbus na Mbezi beach,Masaki,Msasani hivi ningesema wengine wangerudi bongo na wengine wangebakia,,ila Mburahati,Manzese kwa mfuga mbwa,Mabibo na maeneo yanayofanana na hayo, HAWATARUDI WOTE...kwa maana 99.9% wa wakazi wa haya maeneo ni kina AHANGAIKAYE.
ReplyDeletekwa upande wa michuzi sioni kama kuna kinywaji..mhh ukikabwa je? afu kwa mbali naona kama hizo ndizi mzuzu sio? afu navyojua kwa kukabana hizo ndizi ni noma.
ReplyDeleteheheheheh KP mie nimeshawauliza wazungu mpaka nimechoka. na swali langu kila siku ni kwamba wazungu nusu waende afrika na nusu waafrika waje ulaya afu baadae kila mtu arudi nchini mwake... wanakosa la kujibu. mhh bora uulize wewe.
we anony wa 8.25pm, na kingereza chako cha mwalimu Asumani chini ya mti. hapa wakerewe wazawa wanasema dinner mchana, hata wanao serve chakula mchana mashuleni wanaitwa ma Dinner ladies, wote hapa tunatumia dinner mchana kuliko jioni... Ulifikiri unajua kumbe hujui....samahani
ReplyDeletewe anony wa 8.25pm, na kingereza chako cha mwalimu Asumani chini ya mti. hapa wakerewe wazawa wanasema dinner mchana, hata wanao serve chakula mchana mashuleni wanaitwa ma Dinner ladies, wote hapa tunatumia dinner mchana kuliko jioni... Ulifikiri unajua kumbe hujui....samahani
ReplyDeleteYOUNG MILLIONARE MWENZANGU, NAONA MAMBO SIO MABAYA! MANAKE TULIBEBA BOKSI PALE WHOLEFOODS KWENYE MATUNDA NAONA MWENZANGU UKAKIMBIALIA COLUMBUS!.
ReplyDeleteHAYA BWANA WEWE RUSHA MGUU JUU HALAFU UJE TUBADILISHANE WAZO.
SALAM HOME
mTAngANyIkA!
Sunday Shomari naomba kwa niaba ya wadau wenzako kupitia Bro. Michu na blog ya jamii ningependa kusema kuwa hilo shati la bluu sasa uliache hata kama unayo mashati ya bluu kumi.Yaani mtu akiwa anataka kujua huyo Sunday yukoje ni kumwambia nenda Columbus utamuona tu ktk jamii ya Wa-TZ utamuona tu huyo jamaa anapenda kuvaa shati la bluu. Sasa uwe unabadilisha jamani. Au ndiyo masharti ya mganga?Adios
ReplyDeleteanon wa Jan 23, saa 7:04 inaonekana wewe bado mtoto mdogo sana au umekuwa mwili tu ila akili haikuwi......na ni wale ambao akili zao hazina akili....unaposema huyo mwenye MBA alisema amekwenda Tanzania na akakosa kazi, unashangaa na kumuona kama mjinga yeye kurudi kuhangaika ulaya...WEWE KAMA UKO NYUMBANI NA UMESOMA, UKAFANIKIWA KIMAISHA, BASI NI WEWE, TENA NARUDIA NI WEWE NA USITAKE KUGENERALISE MAMBO....Mimi mtu mzima sana kwa sasa 55+, nimeshasoma nje sana nikarudi nyumbani nikafanya kazi sana na sasa niko nje ya Tanzania kwa muda ila ntarudi soon, USITAKE KUWADANGANYA WATU, hali ya nyumbani ni ngumu sana, hemu leo hii tujaribu tutafute masponsor watusaidie pesa, tufanye zoezi kama hili: TUCHUKUE WABONGO KAMA 50 WENYE ELIMU ZAO WANAOHANGAIKA NA HAYO MNAYOYAITA MABOKSI YA NJE YA NCHI,,,BASI NA TUWALETE BONGO NA TUJARIBU KUWATAFUTIA KAZI TUONE KAMA WATAPATA WOTE AU LA...na kazi zenyewe wakizipata , je zinaendana na masomo yao, na je mshahara unaridhisha?wewe kama ulisoma, ukafanikiwa kusettle nyumbani, basi mshukuru mungu, ila kumbuka THAT IS YOU..sio wote hufanikiwa sehemu ambazo wengine wanafanikiwa, ndio mana unaambiwa hata huku nje kuna wabongo wengine hawabebi hayo maboksi, wana kazi zao nzuri sana, na mazingira mazuri ya kazi, AMBAYO WEWE WALA HUJAWAHI KUYAPATA, NA KAMA UTAENDELEA KUISHI BONGO BASI UTAKUFA BILA KUFANYA KAZI KWENYE MAZINGIRA HAYO NINAYOZUNGUMZIA.Ninamfahamu binti mmoja amechoka kukaa nje amerudi na degree yake nzuri sana tangu mwaka 2007 katikati, mpaka sasa ninapoongea HANA KAZI,,ndugundugu ndo wamejaribu kumsaidia viresearch sometimes vya muda mfupi tu, vikaisha...hivi sasa hata savings alizokuwa nazo kamaliza, kabakia kutegemea tena wazazi kama ilivyokuwa zamani,,,,hivyo wanaofanikiwa bongo haya, wanaofanikiwa nje haya, wasiofanikiwa bongo wakabahatika kupata vibali wakae nje, wakabeba boksi, wakalea wazee, wakasafisha barabara, yote kheri.....hemu muulize msafisha barabara wa bongo analipwa kiasi gani na katika miaka 5 ya kazi anaweza akasave kiasi gani na kufanya mambo mangapi kwa familia yake, ukoo wake etc na muulize mfagia barabara wa ulaya ,(mbongo sasa) ambaye akili imetulia, ile pesa anainvest nyumbani, uone katika miaka 5 anaweza kufanya mambo gani, ndo utajua kuwa maisha popote na katika hali yoyote.....pia huyo mfagia wa barabara bongo kuipata hiyo kazi, ilikuwa mpaka amjue mtu kwanza, sio rahisi, ila wa nje kama kazi ipo anapewa hakuna haja ya kumjua mtu...Mtu mwenye MBA akija nyumbani akapewa offer ya kazi kwenye kampuni la maana na pesa ya maana, AKIIKATAA ARUDI KWENYE BOKSI, kweli ntamuona mjinga, lakini kaja na MBA halafu unataka aajiriwe na kikampuni gani cha ajabuajabu, kwa wahindi huko, sijui section gani ambazo hata hazimhusu, pesa yenyewe iwe kichekesho....future haieleweki, hata mimi ningemshauri arudi tu kwenye boksi...HEMU UKUWE AKILI WE MTOTO, WATU SIKUHIZI TUNAKAA TUNATAFUTA PESA, HATUTAFUTI STATUS, ETI NAFANYA KAZI OFISINI , YOTE MAISHA.....We nafasi za kazi unazo ngapi? zitangaze basi humu kwenye Michuzi watu waombe, warudi nyumbani....na wakija UWAPE, sio uwayeyushe....Hivi unadhania kwa akili yako hawa wabeba maboksi wanapenda hayo maisha, basi mimi kwa ufahamu wangu watu kama 7 katika kundi la watu 10 niliowahi kuongea nao huku nje niliko, wanatamani sana warudi kusettle nyumbani, tena wameshajenga/wanajenga, wana vitega uchumi vidogodogo, ila wasiwasi wao ni kazi, security ya maisha yao wakija nyumbani....basi na hilohilo mnaloliita boksi, wengi wamesomesha ndugu zao, wamejanga, wameendeleza sana kwao, nyie endeleeni tu kuwaitwa WABEBA MABOKSI...wengine akili zao zimetulia, wanajua wanachokifanya, maisha magumu, kazi ngumu, lakini wanavumilia mana wanajua hata wakija leo nyumbani hapatakuwa na nafuu...TENA BASI BORA BOKSI LA ULAYA KULIKO BOKSI LA TANZANIA.
ReplyDeleteWe annon Jan 23 10:50, kwanza umri wako unakusuta! Miaka 55 unahangaika na mabox bado?!? Mhh! Pole sana. Jua limeshazama hilo! Pili, kwenye message yangu hapo juu nimeweka wazi kabisa. Kuwa mtu mwenye akili na uwezo mkubwa wa kufikiria na amesoma, hawezi kuja Ulaya na kubeba box! Kazi kibao hapa bongo, ni mtindio wa akili tu unazuia watu wasizione! Hilo ni tatizo kubwa sana kwa wabongo wengi wakiwemo huyo unayetoa mifano. Inawezekana background politics zinatuumbua! Kumbuka kuwa hata Ulaya kuna watu wamesoma hawana kazi! Wengi sana. Nimesoma nao mimi, mpaka PhD walikuwa wanaendelea kuuliza kama watapata hata Post docs!.
ReplyDeleteKwa hiyo basi, mimi nasema hivi, suala la kubeba box silikatai! Ila nasema kwamba mtu mwenye MBA abebe box au kufagia barabara Ulaya wakati rooms kibao hapa bongo??! Mimi mwenyewe nilipata kazi si kwa kumjua mtu, na si kwa siku moja, Nilitulia tu. Nikahangaika nikapata. Huyo dada yako kamaliza shule mwaka jana anataka sasa hivi awe na kazi?! Asubuhi, atafute, atapata. Lazima apate. Si kweli kila kitu lazima umjue mtu, ingawaje kuna mazingira kama hayo. Wanasema hao hao wazungu, when one door is closed, try another one, and when also closed, try windows and if everything is closed break one of them! Wabongo hapo ndo tatizo! hatuwezi kuvunja. Tunakimbilia boxes na MBA zetu!!
Tunapofanisha hali za Ulaya na bongo tunakose mambo mengi sana. Hapa bongo wagtu wengi wanapata mshahara usiozidi 100,000 lakini wana nyumba nzuri na wanaishi kwao. Wanajua cha kufanya wakiwa huru. Wewe mbeba box sawa. Mimi naongelea wale wasomi wanaokimbia nchi na kubeba box! Ama kuhusu Watanzania wenye kazi nzuri, mbona wengi tu! Asha Rose Migiro yuko UN, unajua apata kiasi gani? Tibaijuka na mlologo mkubwa sana.
Issue yangu ni kwamba, tutumie akili kuishi nchini. Si kukimbilia mabox. Ndo maana wewe umezeekea huko, na 55 yako hiyo bado hujajua formula ya maisha. Ni Box tu hilo limekuua! Wenzako watakuwa hivyo hivyo. Kisa, eti wana hela nyingi kuliko Watanzania na wanazituma hela huku!!! Unatuma huku ili azile nani na kama wewe una 55 tayari? Ungekaa bongo, si ajabu ungekuwa na bonge la shamba, bonge la nyumba, bonge la familia. Zaidi zaidi uko happy na life kwenu!
We annon Jan 23 10:31, wazungu wa ulaya wako million 250 na waafrica million 760. Sasa uchukue wazungu nusu uwalete huku ni sawa sawa na population ya Nigeria tu! Waafica nusu uwapeleke ULaya, watakaa wapi?!??! Fikiria vizuri.
ReplyDeleteNdo maana hujibiwi, kwa sababu hakuna logic kwenye swali lako!
Dinner ya mchana haina tatizo lolote,kuna dinner ya mchana na dinner ya jioni nafikiri anon wa8:25pm wewe ndio ungemwambia Michuzi aitoe comment yako kabla wala vumbi hawaja kula mzima
ReplyDeleteKuna vi-anon viwili hapo juu vishamba vinajifanya vinajua sana Kiingereza kumbe vi-bobbish tu.
ReplyDeleteDinner ni mlo wowote maalum wa siku ambao unaweza kuwa mchana au usiku.
Kwa kuwasaidia tu kama hamna dictionary bofya hapa
Trading places - Mburahati and Ohio! So this lad is wondering what would happen if Mburatians were to to live in Ohio for six months. How did he do it in the first place? The question is silly at best and abusive at worst. This is a typical manifestation of what the Swahili call ulimbukeni. My best bet is that the lad is a Bongolander who happened to live in the US (legally or ilegally) and now looks back to Bongoland as a hostile place pretending to be more American than Mike Tyson.
ReplyDeleteIt is unimaginable how a few years overseas would transform a, say, Musomain, Geitan or Lindian into a hard core Bongophobic. Some of us grew up seeing American corps, VSO teachers and many other westerners living comfortably in the heartlands fo Bongo without questioning the quality of our life styles. Yet here we have one of our own who dares wonder what it would be like if those people are to trade places? I mentioned Mike Tyson above and I am sure he would never raise such a question.
And why pick on Mburahati? You may as well go for Masaki or Oyster Bay as some of you left good neighbourhoods in Bongoland for a slum-like life in the US or UK.
You want to be American? Go aspire for American presidency and good luck. Never forget, you will always remain a foreigner.
Kifimbo cheza kumbe hata wewe hujui..Watu kwa kujishaua bwana......Dinner sio mlo wa usiku...dinner is a main meal of the day taken either in the evening or at midday....
ReplyDeleteNa kuhusu swali lake mi naona watasurvive tu ...Kila mahali panahitaji akili yake once you get used to it it is all the same...Life in America is not that easy too....
Mi naomba kuuliza, hivi columbus ni kama manzese nini? Mbona wabongo wengi wako huko? Mkirudi wasalimieni sana, mkawahadithie kulivyonoga huku. Hajulikani wa masaki wala wa manzese kwa mfuga mbwa wote tuko bomba, si mnamwona Masoud kwani mtamjua siku hizi, mmemcheck nywele zake?!
ReplyDeleteUsiwaite wenzio washamba kwani ndivo walivyofundishwa shule na wakakalili, sasa kazi kwenu, cha muhimu ujumbe umefika iwe dinner, lunch au supper
ReplyDeleteNdo maana sehemu ya kulia dinner iaitwa dining area. Hao jamaa na kizungu cha ngumbaru hawajiulizi inakuwaje wanalia hapo mchana?
ReplyDeleteKabla ya ku-critisize, jamani tuwe tunafanya homework japo kidogo...
huyo kijana sio sunday shomari alikua anabeba boksi pale big bear shrock rodi? babu lini utabadili shati la bluu ndugu yangu? wajameni eeh pia ni dj mfupa sina nyama
ReplyDeleteMi nimuulize tu Sunday shomari,
ReplyDeleteyule demu wako MONICA MFUMIA wa kipindi kile yuko wapi???
Ulienda piga nae box?
ni hayo tu
Jamaa-Arusha,
shaqeir@yahoo.com
Mi naona kicheko cha michuzi kimeongea vitu vingi sana hapo, kitu kimoja tayari jibu analo sasa lile jibu linamfanya acheeeeeke , akifikiria wadau watakavyosaga humu kwenye mdahalo huu, ehe bwana na ndivyo ilivyo basi kila jibu yeye anachekaaaa anatujua fika wadau wake kwa kumwaga upupu hatujambo.
ReplyDeleteBro michu picha zako nyingi huwa unaraha majira yote hongera abui(baba).
KP u look good.
anon wa saa 11:14 kwanza asante kwa hoja zako, na pili samahani kijana naona hatujaelewana, mimi siishi huku nje, kwa kifupi nimesoma huku Bachelors na Masters then nikarudi nyumbani, nikafanya kazi baadae nikaenda tena nje kufanya Doctorate yangu, na sasa mimi ni Full Professor huko nyumbani, hivi nimekuja kwa Sabatical leave tu,,ndio mana nilisema niko huku ila ntarudi nyumbani soon...(yawezekana wewe ni umri sawa na vijana wangu tu)siishi huku...NINACHOSISITIZA NI KUWA MAISHA NI POPOTE, WALIOFANIKIWA KUSETTLE NYUMBANI SAWA NA AMBAO HAWAKUFANIKIWA BASI WAACHE WAJARIBU KWINGINE, ILA MTU AKAJA NYUMBANI AKAPEWA KAZI NZURI AKAIKATAA ILI ARUDI ULAYA, NDIO TUTAMSHANGAA, huyu binti ninayesema amekuja nyumbani tangu mwaka jana na kazi hana, amini usiamini amesoma masomo mazuri sana, ameshaapply kazi nyingi tu,hapati. Kijana mshukuru mungu kwa nafasi uliyonayo na maisha uliyobarikiwa kuyapata nyumbani, ila usikufuru..angalia sana, kuna watu wanasota kutwa kucha hapo nyumbani na wengine wana elimu zao....hivyo usiwaseme vibaya hao unaowaita wabeba boksi,,ALIYEPUWA WEWE NDIO KAWANYIMA WAO.
ReplyDeleteanon wa 7:04 na ndio wewe umeandika tena saa 11:14 unachekesha kweli, yaani kweli utoto utoto tu, ukiangalia maoni yako na ya huyo mzee wa 55+, inaonekana kabisa wewe UKO FRUSTRATED, yaani unaandika point za ajabuajabu, na ni kweli unageneralise sana mambo, maisha ya hapa nyumbani sio ya kugeneralise hivyo, hali ngumu sana...Mimi nafanya na NGO nina nyumba na familia, namimi nasema mwenye kupata kazi na abaki, mwenye elimu akaja hapa akakosa kazi asipoteze muda na arudi huko akabebe hayo maboksi, aendelee kutafuta akipata atarudi, akikosa basi..usiwadangaye watu wakaja wajazane hapa nyumbani,,wasipate lolote, kama alivyokueleza mzee hapo juu, we mshukuru mungu tu kwa ulichonacho na wenzio waombee dua, ila usiproduce pumba hapa kama mtoto wa miaka 10....
ReplyDeleteinaonekana uko so frustrated, pamoja na kuwa uko nyumbani na una maisha yako mazuri(as u put it)...tuliza kichwa,fikiria kabla hujaandika, unasoma harakaharaka sijui unaharaka ya nini, mzee kasema ameenda kwa muda anarudi soon nyumbani, umekurupuka unasema umri wake unamsuta..We inaonekana una kazi, una maisha, na familia may be, but YOU ARE JUST NOT SATISFIED WITH YOUR LIFE, U R NOT HAPPY AND YOU ARE SIMPLY FRUSTRATED...comments zako tu zinajieleza...andika mambo mengine mengi unayotaka, wala sitajibu wala sitayajali, mana mimi naujua usemi wa DON'T GUMBLE WITH A FOOL, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE..so sitaki kubishana na wewe..wacha niendelee na mahangaiko yangu. CIAO.
kaka michuzi ......na mimi nikija utaninunulia lunch????walahi no joke for this my dinner ya mchana weee si bure vitambi nyumbani watu full meals three to four times a day!!!
ReplyDeleteMzee wa 55 nimekubaliana nawe kabisa. Binti anatakiwa atafute kazi. hakuna zaidi na atapata tu. Pili, kama wewe kweli ni proffesor huwa hakuna shule nzuri zaidi ya nyingine! Wala usiwadanganye wanafunzi. Shule zote nzuri sana na zinategemeana sana na mtu. That is very important kwa Professor kama wewe kusema.
ReplyDeleteKwa kweli annon Jan 24 1207 na NGO yake nadhani ni mwehu au mgumu wa kufahamu mambo. Nilchosema mimi hapoa ni kwamba, watu watanzania ukiwemo wewe unayefanya kazi kwenye NGO, ni lazima mtumie akili na si kukimbiakimbia tu. Kuomba dua ni moja, lakini kutumia akili ni zaidi. Hakuna mtu asiyeomba dua akashidwa na hakuna aombaye dua akafaniwa! Hii ina maana Mungu achagui, ni imani tu. La maana akili kichwani siku zote. Ndo point zangu hapa.
Simaanishai kwamba nyumbani kuna kila kitu, ila ni kweli vitu viko vingi. Akili yako na background. Kwa maelezo ya annnon wa NGO unaonekana wewe ndo life imekumaliza kwenye NGO yako. Nafikiria sana sana kuliko unavyodhania. Niko mbele ay amuda wako, nina hakika kwa hilo na kwa kuangaklia comments zako. Ila nakusisitizia kuwa jitahidi kutumia akili na si kukimbiambia tu. Mbeba mabox ni sawa na kuli bandarini hapa. Wote wanatafuta maisha. Ninachosema mimi ni watu wenye elimu kukimbia nchi na kubabe box! Huwezi ukasema una MBA ukose kazi na uende ukabebe box.
Kama ni uwezo wako wa kufikiria wewe wa NGO shauri yako. Sisi tuafikiria juu zaidi. Na si kukata tamaa kama ulivyoonyesha wewe.
Wewe uandhani kama hakuna ajira, Wachina, Wahindi na wazungu wanaojazana bongo wanatafuta nini?!! Sisi ndo hatuzioni hizo ajira, kwa sababu moja tu, kutaka urahisi. Na urahisi ni mabox!
Wewe baki na familia yako na nyumba yako, na mkeo au mmeo. Lakini fikiria zaidi. NGO inatakiwa iwe yako hiyo, si wewe kufanya kazi huko!
Mabeba box kwa level yao nawafagilia sana.
WALA VUMBI WALAVUMBI WALA VUMBI MNACHONGA MTAKULA VUMBI HADI MAKOO YAOTE UKURUTU
ReplyDeletekwakweli kusoma hizi comment unaweza usifanye kazi siku nzima, ni vichekesho, vituko, madongo( kama ilo kuhusu shati labluu), mawaidha( kama wewe unaetuambia maproffesional yako ya ulaya), matatizo na lawama. nawatakia mjadala mwema, mie niendelee kushindwa kufanya kazi....
ReplyDeleteMichuzi hao watu wangechanganyikiwa kama ungewapeleka East Coast (Ny city, Northern NJ cities au Boston) na West Coast (LA, San francisco).
ReplyDeleteColumbus, Ohio??? Mhhh... na other mid west cities and towns ni very slow. Zipo so easy na kuishi hauhitaji akili sana. Watu wanatembea polepole, watakushikia mlango uingie na kutoka...watakusalimia na kukuuliza habari za siku etc....yaani life is very slow sanaaana......hamna tofauti sana na bongo zaidi ya mabarabara mazuri na some few tall buildings.....Mlete huyo mtu wa huko kishumundu NY City au accross the hudson river hapo atachanganyikiwa na atajua kweli kuna tofauti.......
HII ni balaa sana! Mnatufurahisha sana washikaji! Hasa wewe Professor wa sabbatical na mwenzako wa bongo mla vumbi. Burudani tosha kabisa
ReplyDeleteOmar Mtiro umetoka wapi na hao mabishoo? harusi lini na demu wako wa kiwest? dem katulia kishenzi fanya kweli broo umweke ndani.
ReplyDeletemie waiter nimmemind...umeoa?
ReplyDeleteanon 1:47 unabishana nini na mzee hapo juu, we kweli ni empty head na hauna adabu,,,,unaona wenzio wastaarabu wamekupa opinions zao then wamejikata,,wewe ndo kutwa kujibujibu..
ReplyDeletehajakosea aliyesema wewe ni Pumba producer..
naungana na Prof,na huyo anon wa NGO,,haifai kugeneralize mambo,,we umefanikiwa hapa bongo ok, wengine hawakufanikiwa....haya, kama kuna vacancies unazifahamu, leta weka kwa michu hapa watu wataziomba, sio blablabla nyingii,,,kweli we huna shughuli ya maana, ndo sababu unashinda kuleta ubishi kwenye mambo ambayo yako wazi kabisa...
Frustrations++++
We annon Jan 24 7;24 unataka jamaa akupoe tangazo la kazi wakati wewe ni mbeba box? Hakuna bongo kitu kama hicho ndiyo maana akaweka wazi kuwa wabebaba box safiiiiiiii! Lakini wengine mmechemsha!
ReplyDeleteKwani wewe unabisha nini? Unakaa na huyo mzee wote kwenye chumba kimoja huko?! Acha ujinga na ulimbukeni wewe!
Kama una shule rudi home.
Mpambano safi. Kati ya wakata tamaa, wabeba box na wenye uzalendo wa nchi, wale walioko bongo! Safi sana.
ReplyDeleteuzalendo gani mlikosa visa
ReplyDelete