Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. huyu kibaki kachemsha vibaya sana.
    bongo mabingwa wanakomba kuanzia kura za udiwani. wanakuja kula kura za ubunge na kumalizia kwa za rais. yaani hapo ukiangalia unaona chama tawala kinakuwa na clean sweeo kwenye uchaguzi ngazi zote.
    sasa huyu kibaki alisahau kuandaa vijana wake sijui, akaja kuiba dakika za mwisho akasahau ili kuyafanya matokeo yaonekane yana ukweli angepaswa kuiba na kura za ubunge!
    lazima aenguliwe tu huyu bwana.

    ReplyDelete
  2. kaka michuzi kwanza nakushukuru kwa kutuhabarisha lakini wajemeni NYUMBA YA JURANI UNAWAKA NA YETU INA PAA LA MAKUTI JAMANI TUSIMAME NA NDOO ZA MAJI IKITOKEA MOTO KUVUKA TUWE TAYARI KUUZIMA MUNGU ATUEPUSHIE LAKINI........HALI SIO kilichowapeleka watani zetu kufikia hapa ni kukata tamaa ya maisha hali inayo jiashiria nasi kwetu jamani wao kidogo tuanaweza kuwaweka katika mikowa miwili mitatu itawatosha sisi tutakwenda wapi? tuwe makini

    ReplyDelete
  3. That is KARUME akiongea na Kibaki, na kikwete akitoa support

    KARUME na CCM wanaongoza kwa kuiba kura duniani, kweli kabisa kibaki alipaswa awaone hawa jamaa wa CCM kabla hajajaribu

    Anyway ushauri wa bure.. dont try that at HOME ..haha inachekesha lakini inauma

    ReplyDelete
  4. Anonymous wa Wed,2 12:20 PM EAT; Mambo ulioandika yabidi yasomwe na wengi na yatiwe maanani jamani.Ni kweli, sisi baada ya hayo yote tutishia wapi?Tutakuwa wageni wa nani?Maana kila jambo lina mpaka!!!

    ReplyDelete
  5. WAHENGA WALISEMA MWENZIO AKINYOA, WEWE WEKA MAJI. WATANZANIA TUANGALIE HAYO KWANI NASE TUKOP NJIANI, UWEZI KUWWATESE, KULA HELA ZA WALALA HOI, NA SERIKALI HAINA CHOHCOTE INACHOFANYA, HALAFA UKATEGEMEA WANANCHI WATAKUWA WAJINGA MIAKA NENDA MIAKA RUDI, JK HAMAN CHOCHOTE ANACHOFANYA MAWAZIRI WAKE WOTE MBUMBU HAKUNA MTENDAJI HATA MMOJA, UKIWAULIZA WHAT HAVE YOU ACCOMPLISH AS OUR LEADER HAMNA YEYOTE MWENYE JUBU, MAJI HAMNA, UMEME HAMNA , USAFIRI MAGARI NJIANI KAMA MAEMBE HAKUNA CHOCHOTE CHA MAANA, UCHUMI UNADIDIMIA KILA SIKU. I AM TELLING YOU PEOPLE NA SISI TUTACHOKA NA KUDANGANYWA, ENOUGH IS ENOUGH. NI HELI TUWEKE MAJI KICHWANI KABLA HATUJA NYOLEWA.

    ReplyDelete
  6. What goes around comes around,Tz.rulers should take whats goin on in Kenya as a wake-up call,its possible in our country2 have same problems under the umbrella of 'Christianity/islamic' ticking time bomb.

    ReplyDelete
  7. Sisi kazi yetu kwenda mapumziko na safari zisizo na ulazima!Wanafunzi hapo jijini usafiri wa kwenda shule na kurudi makwao ni masikitiko tu,wakati hawastahili kupata shida zote hizi kwa ajili ya kupata haki yao(ELIMU).Aibu!

    ReplyDelete
  8. hauxtable, ni kweli sana tu. Kwani ukiona mwenzio ananyolewa wewe kitie maji, ujue na wewe uko njiani. Kwani udini Tz sasa imekuwa ni kero kwa kweli, watu wanajifanya hawaoni wala kusikia lakini ukimuuliza mtu binafsi, mh majibu utakayopata utaogopa mwenyewe. it is ticking time bomb.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...