Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Pamoja na msiba mkubwa kwa wenzetu Wakenya lakini napenda kusema kuwa Wwkenya waache kujitia wajanja haswa wanapokuwa hapa TZ... Wanawaona wa waTZ woote ni wajinga na hawajaenda shule sasa...Matokeo yake ni hayo...

    ReplyDelete
  2. sio bongo tu hata hapa marekani wako hivyo hivyo ukikutana nao, utasikia wewe ni mutu wa tz,ukimuuliza umejuaje atakwambia, swahili yenu iko nzuri ila english yenu ni ya hovyo. vile vile hawa jamaa wanachukiana ile mbaya siku matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa tulikua pamoja kwenye baa tunapata moja moto moja baridi, eeh bwana ehe ile imetangazwa tu kibaki kashinda acha wakikuyu waanze kuwaletea mazarau wajaluo eti wana magovi hawawezi kuwa viongozi.kidogo tu zipigwe lakini nafikiri waliogopa kupigana maana mapolisi wangekuja na jamaa hawana papers basi ndo safari ya kenya ingeanza.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli mnamnavyosema. Na hiyo ndio sababu kubwa ya Odinga kunyimwa madaraka sababu Kenyata alisha waasa kwamba nchi isije tawaliwa na mtu ambae hajatahiriwa. Achana na hayo mimi niliwafunga mdomo Wakenya saba nikiwa nipo peke yangu. Walisifu kiswahili wakasaga swangilishi yangu. Nilikawaambia sikujua kama wao wazungu ni wazungu weusi. Wakabisha uzungu na kukazania ukenya niliwauliza kwanini ukienda Kenya eyapoti mabango yameanza kuandikwa kiingereza juu na kiswahili chini kama wao si watumwa. Pili niliwaomba waniletee mzungu atakae wasifia wao kwa kuzungumza kiingereza badala ya lugha yao. Ya mwisho iliyowaacha hoi ni pale nilipo waambia walikua walipata uhuru kwa mara ya kwanza Moi alipoondoka madarakani. Walipobisha nikawaambia waniaambie ni nani kati yao ambae alisha wahi kupiga kura ya kumchagua Raisi wao. Na hapo ndipo glass ziloanza kuwa nzito kama gunia tukasalimiana baada ya miezi na sasa ndio hayo.

    ReplyDelete
  4. hivi kwani wakenya wanajua kiingereza? Mbona mimi sijawahi kukutana na mkenya anayejua kiingereza?
    Wabongo ni waoga tuu, lakini wakenya hawana kiingereza chochote wanachokijua ambacho wabongo hawakijui.
    "Niko wak mazee, nita be back at 6 o'clock. sasa ni aje kwani uta_come? kama utacome ni poa nitaku_wait; usisahau bu-bring vodoo(vodka)"

    Hiki ndo kiingereza ambacho wakenya wanawatishatisha wabongo kila siku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...