Waziri Mkuu,Edward Lowassa akizungumza na Waziri wa Sayansi, Tekinolojia na Elimu ya Juu, Profesa Peter Msola, Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Solomon Sumari na Kamati ya Viongozi wa Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu na Vyuo Vishiriki vya Umma, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. NIA NA MAZUMUNI YA BABA WA TAIFA KUJENGA CHUO KIKUU NA VYUO VINGINEVYO ILIKUWA NIKUWAPA NAFASI BAADHI YA WATANZANIA WATAKAOSHIKA DHAMANA YA KUIONGOZA NCHI PAMOJA NA MAWASILIANO NA NCHI NYINGINE DUNIANI. HAKUA NA LENGO HATA KIDOGO LA KUSOMESHA MAFISADI SASA TUNA VUNA MABUA HASARA SANA

    ReplyDelete
  2. BABA WA TAIFA AU KWA SASA TUNAFANYA MCHAKATO WA KUMTAMBUA KAMA BABA WA DUNIA MWALIMU JULIASI KAMBARAGE NYERERE KATIKA HOTUMA ZAKE ZA MWANZO ZA KUFUNGUA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ALISEMA HIVI" TUMEJEKA CHUO HICHI KWA GHARAMA ZOTE NYUMBA NZURI ZENYE MANDHARI YA KUWAVUTIA WALIMU KUTOKA NCHI ZA ULAYA NA MAREKANI ILI WAKATI WANAPOTOA TAALUMA HIYO KWETU WAJISIKIE WAKO NYUMBANI KWAO. KWA HIYO KAMA MIMI LABDA NINGEKUWA PROF WA UKWELI NILIVYOMUELEWA BABA WA DUNIA NI KWAMBA INGEKUWA SAWA NIJENGEWENYUMBA YA UDONGO KATIKAMAZINGIRA YA CHUO UKU NIKIENDELEA KUKATA NONDO DARASANI. LAKINI SIO MIMI NAFIKA DAR ES SALAAM NATAKA KUKAA NYUMBA KA MZUNGU UCHUMI WETU HAURUHUSU OIA MAZOEA. UKIAMBIWA UMESTAAFU UNATAMANI KUIBA MASIKI NA MASOFA MWISHOE HASARA HATA UJUI KWANINI UKIKUWA UNA SOMA. TAARIFA KWA WASIO FAHAMU HAYO YAMESHABADILIKA TUNAHIJAJI USHIRIKIANO WENU KUNUFAIKA NA HAYO MATUNDA. WENU MWANA WA TAIFA TUMAINI GEOFREY TEMU AKA PROF DR ING MOSHI TANZANIA

    ReplyDelete
  3. Wasomi wengine bwana!!!!,

    Wanaacha kuandamana nchi inaliwa eti wanaipigania Kenya!!!!!!!!!
    Khaaaaaa!!!!!!!???????

    Ndio hao hao wanaota kuja kuwa walaji wa nchi wa baadae

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...