bi kidude akipiga mche wake wakati akisubiri maandalizi ya sauti za busara sza mwaka 2009 katika ukurasa wa nyuma wa kitabu cha tamasha hilo la muziki linaloanza kesho katika ngome kongwe huko zenj. mengi zaidi nenda www.busaramusic.org

Saanaa sijui nini lakini wanadvertise sigara....????
ReplyDeleteMAALIM ISSA MIMI NIMEKUELEWA..JUKWAANI POA SANA LAZIMA UPATE.."..JANI.."..KABLA HUJAWATUMBUIZA.."..HII NDIO MOJA YA "..SAUTI ZA BUSARA.." KAMA UAMINI NENDA.
ReplyDelete