mdau mike mckeon wa chuo kikuu cha st. john university collegeville, minnesota, akiwa na mdau inno kwenye vekesheni zenj ambapo kanambia bia za bongo zimemkuna sana kiasi ya kwamba kaamua kuonja zote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu nae stress zake anazipeleka africa.

    ReplyDelete
  2. Bia za bongo zimemkuna au kwa vile yuko under age za kwao hajawahi kuonja kiulaini hivyo. Huko kwao asingeweza kunywa hata ulezi huyu...21 to drink

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...