jk akipokea mwenge wa mkutano wa leon sullivan kutoka kwa aliyekuwa rais wa nigeria olusegun obasanjo huku akishuhudiwa na balozi andrew young (shoto) na mwenyekiti wa mikutano ya sullivan bw. masters (kulia) huko abuja mwaka juzi kuashiria kukubali kuuandaa mwaka huu huko arusha wiki ya kwanza ya mwezi juni. nenda www.dailynews-tsn.com upate kupitia tovuti maalumu ya mkutano huo wa aina yake ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na takriban washiriki 3,000 toka marekani

Michu mambo vp? Unajua mie ninatabia ya kila aubuhi kuingia kwenye hii blog nakujipatia yaliyojiri hata kabla sijatafuta gazeti lakin nimestajabu kwa leo kuhusiana na hili sakata la Gavana mpya kutegua wakurugenzi huku kwako halipo au hujalisikia lakini magazeti mengi mbona yameandika au unatubania jamani sio vzuri hii blog inatupa mambo mengi sana au umesahau jamani?
ReplyDelete