Asalam aleikum Bwana Michuzi,

Naomba unipeperushie hii kwenye blogu yetu ya umoja kwa wadau wote

Ninamtafuta rafiki yangu aitwaye Edina Mushumbusi ambaye kwa mara ya mwisho ( mid 90’s) nilisikia alikuwa akisoma Kibiti Secondary (Pwani). Je kuna mdau yeyote anayemfahamu au anayeweza kunipa mawasiliano yake?
Email yangu ni simbanjaa@gmail.com
Mdau Ngadu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Edina Mushumbusi aliolewa na jamaa fulani alikuwa mhandisi katika kampuni fulani ya Afrika ya Kusini; nadhani walishahamia Namibia.

    ReplyDelete
  2. Thanks Anonymous kwa update yako. Lakini kama una contact zake naomba unipatie walau niwasilaine naye. Thanks though ... Ngadu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...