MPIGANAJI MWENZETU WA ITV NA RADIO ONE JOHN LUBUNGO AMEFARIKI JANA KATIKA AJALI YA GARI AKITOKEA MBEYA KUELEKEA TUNDUMA KIKAZI.
HABARI TOKA MBEYA ZINASEMA MAREHEMU LUBUNGO (33) ALIPATWA NA MAAFA BAADA YA GARI ALILOLOKUWA AKIENDESHA KUPINDUKA KWENYE KIJIJI CHA MAHENJE KIASI CHA KILOMITA 3 TOKA MLOWO, MBOZI.
HABARI HIZO ZINASEMA MWANAMKE MMOJA ALIYEKUWA NA MAREHEMU LUBUNGO KWENYE GARI NAYE ALIPOTEZA MAISHA BAADA YA KUUMIA VIBAYA KICHWANI.
MAZISHI YA MAREHEMULUBUNGO YANATARAJIWA KUFANYIKA LEO NYUMBANI KWAKE TUNDUMA ALIKOISHI NA KUFANYIA KAZI AMBAYO ILIIWEKA SEHEMU HIYO YA MPAKANI KWENYE RAMANI KWA RIPOTI ZAKE ZA MARA KWA MARA
MOLA AIWEKE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI - AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwenyezi Mungu aiwekeroho ya marehemu mahala pema peponi.Amina

    ReplyDelete
  2. Michuzi acha tabia mbaya yani nimeandika post yangu ya kumtakia pumziko la milele marehemu John Lubungo nashangaa hujaweka, sijui unaweka kwa kuwajua watu sura zao au kuwafahamu ubin wao au ni nini? Na huu usiutundike. Kila la heri bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...