Home
Unlabelled
mtaji wa masikini...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NI NGUVU ZAKE MWENYEWE EEEEEEEE!!!Nus
ReplyDeletekuna siku mtafanikiwa wala msijali...ni afadhali kuliko kuiba..mungu atajibu siku moja maombi yenu
ReplyDeleteeti ndiyo unasema niludi bongo kutoka ugaibuni kama mambo ndiyo hayo,bora nibebe box kuliko kula vumbi hawa wala vumbi wanahakili sawa eti rudini kwenye vumbi kama mnashindwa kubeba box ebo mtakula vumbi hadi makoo yaote ukurutu
ReplyDeleteHapo hakuna mtaji ndugu zangu,Utoke kwenye kusukuma mkokotemi na zigo hilo, ndio uweze kuyarekebisha maisha, sio rahisi ndugu zangu, hapo mmekwisha kufa masikini,mpaka uje uzichange utakua na miaka tisini, na kwa mwananchi wa maisha hayo, miaka hamsini kufika kasheshe.
ReplyDeleteSerikali inawauwa wananchi wake, karne hii, sio ya mikokoteni, ni mambo ya sayansi na tekenolojia.
Wacha sisi tiendeleekubeba mabox yetu, kama alivyo sema mdau hapo juu, ziki ya ulaya sio ziki ya hapo TZ, mtakula vumbi mpaka mfe.
kila ukimwaona mtu apo nyumbani, unamwona kanuna,na hajagombana na mtu, ni ziki ndio inamfanya anune.
Nyie kuleni vumbi lenu, sisi tunabeba box zetu.
PICHA KAMA HIZI NDIO ZINAFANYA WATANZANIA KU JUSTIFY KUNG'ANG'ANIA NCHI ZA NJE,NI MAISHA DUNI,HATUKATAI WANATAFUTA RIZIKI LAKINI HII NI NJIA NGUMU SANA YAKUTAFUTA RIZIKI,WABEBA BOX WANATUPA NGUVU LAKINI UNAJUA POUND AU DOLLAR YA MAANA INAINGIA NOT LIKE THIS.SERIKALI LAZIMA ITAFUTE NJIA YA KUBADILISHA HALI YA MAISHA YA WANANCHI.
ReplyDeleteHawa ndo wakiwa mtandaoni wanatusagia eti tunabeba mabox....
ReplyDeleteMichuzi, naona vijana wetu wanapita mbele ya ofisi kuu ya wizara ya Mipango na Uwezeshaji, maana kibao kilicho ukutani ndivyo kinavyosomeka.
ReplyDeleteSijui waziri wa uwezeshaji pamoja na wachumi waandamizi wana mpango gani na hawa vijana, maana vijana hwa hupita kwa wingi kuelekea Feri hapo DSM.
Nadhani hawa vijana ni kielelezo kizuri cha 'mikakati ya serikali kupigana na umasikini na tekinolojia iliyopitwa na wakati ya usafiri ili 'kuwawezesha wapae kiuchumi'
Mdau
Kigamboni DSM.
Eeee bwaba ee,kweli bongo njaa kali sana,nawaonea huruma sana hao vijana na sasa wasipopata mzigo itakuwaje? si wataishia kuiba tuu na kuuliwa na wenye hasira,jamani inabidi mchukie sana CCM maana ndio mwanzo wa njaa hizi...laki ni big up wanaume hapo juu kwa kula nguvu zenu.
ReplyDeleteWezi hawa wametoka kuiba mchana mchana. Hiyo mizigo yote siyo yao, wameiba hiyo.
ReplyDelete