Home
Unlabelled
mushkeli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijaona kila kitu kilichopo ktk hio form lakini so far mimi sijaona kitu kibaya saaana kwenye hiyo form! Michu hebu enenda moja kwa moja kwene point ili ueleeeke vyema.
ReplyDeleteKifungu D sio kosa lukwendesha motokari bila leseni na bima barabarani.Inabidi watu wawe serious.(Sio) ndio kosa kubwa hiyo lukwendesha ni typing error .
ReplyDeleteKifungu hichi kingesomeka ni kosa kuendesha motokari barabarani bila leseni na bima .
Kosa ni, lukwendesha,
ReplyDeleteKosa la lingine ni rinui, kiswahili safi ni kuongeza muda.
Kaka kumbe tunapishana barabarani miaka nenda rudi mwenzetu unaendesha motokaa bila leseni???!!
ReplyDeleteMakarani wetu hao....wewe ambaye hujaona ndio wewe umeitengeneza nini?
ReplyDeleteLukwendesha, Rinui ndio nini?
Kumbe sio kosa kuendesha bila insurance sasa zipo za nini??? Hata liabity insurance sio kosa kumbe!!!! Mwaaa kujimwaga tu njiani sasa
Leseni na SIo Liseni kifungu D.
ReplyDelete-BooSt3D.