rais mstaafu alhaj ali hassan mwinyi akiwa na afisa biashara wa benki ya NBM Bas Nierop (mtasha), meneja wa huduma kwa wateja emmily daffa (kulia) na afisa uhusiano shyrose bhanji baada ya kufungua akaunti benki ya NMB ambayo katika kusaidia kutunisha mfuko wa yatima barani afrika kupitia shughuli mbalimbali ikiwemo michuano ya soka kombe la mwinyi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hela kwa ajili ya yatima yaonekana ni vizuri.
    Lakini tukumbuke watasha wajeuri walileta utumwa. kisha ukoloni, baadaye maboleo kisha ukimwi. wameua nguvu nyingi zetu. Sasa wanalipia yatima. wanataka kufanya nini nao. Je wataiba sehemu za miili ya yatima kwa ajili ya transplantation?? yalifanya Darfur au Chad!
    Si wema hawa.
    Kumbuka kaka wataalamu wa dunia hii ni hatari. Utadhani kuwa ubadhilifu na ufisadi wote uko hapo tza tu, lakini ukweli ni kwamba umeenea kote. Waenezao haya ni wachache tu duniani. Na haya yalianza zamani.
    Ingia website hizi uone.
    http://judicial-inc.biz/slave_traders_.htm,
    http://judicial-inc.biz/b.lood_diamonds.htm,
    http://judicial-inc.biz/J_oran_va_der_sloot_supplement.htm,
    http://judicial-inc.biz/thersea_heinz_kerry_bio.htm,
    http://judicial-inc.biz/1.osephardim_of_curacao.htm,
    http://judicial-inc.biz/j_history_caribbean_jews.htm,
    http://www.blacksandjews.com/Jews.of.Black.Holocaust.ag.html,
    http://sunray22b.net/slavery.htm,
    www.jewwatch.com, www.erichufschmid.net, www.iamthewitness.com, www.prothink.org.

    ReplyDelete
  2. Nampigia saluti Alhaji Ali Hassan Mwinyi kuwa Mwanasiasa,Rais pamoja na binadamu wa ukarimu na busara,Mzee huyo ni mtangulizi wa uhuru wa fikra na mawazo katika nchi yetu.Nilibahatika mnamo mwaka 1986 kukutana naye katika mmoja wa vikao vyake vya kukutana na wananchi kuwasikiliza matatizo yao hapo Kariakoo...Mzee 'RUKSA'ni mwogopa Mungu ambaye naweza nikamwelezea kama sio 'ordinary but extra ordinary'.May Allah give you a healthy and a happy life...Ameen

    ReplyDelete
  3. Wanalibeneke
    Mheshimiwa amekaa poa tu. Butikavu.

    ReplyDelete
  4. michuzi ruksa yaani alikua na amani na upendo kwa kila mtanzania, mungu ambariki sana.

    ReplyDelete
  5. Da Alhaji mh. Mwinyi simple kishenzi halafu afya tele. Hajanenepeana kitambi ufisadi manyama kama Mkapa. Mwinyi endela kupiga tiz. u Look nice,enjoy life and true love. Money is not everything.

    ReplyDelete
  6. Hi Shy-rose,

    K-nyama hawajambo??

    Nisalimie nanii

    ReplyDelete
  7. Huyu ndie alikuwa BEST Rais Tanzania tulipata,mzee wa watu alipenda watu wote,wenye umaskini aliwaangalia na matajiri pia wote kwake walikuwa sawa.Nafikiri ndo maana Mungu kamjalia afya njema na maisha marefu.
    MUNGU AKUZIDISHIE MAISHA MAREFU NA AFYA NJEMA MZEE WETU ALHAJ ALLI HASSAN MWINYI.

    ReplyDelete
  8. UKIONA MZUNGU ANAONYESHA MEN UJUE UMELIWA HAKAKIKISHA WAKATI WOWOTE ANAKUWA MWEKUNDU UJUE HAPA NI SAWA KWA SAWA. AKIPANDISHA KICHWA JUU CHINI SAWIWA MAANA YAKE UMELIWA ANAKUACHIA CHINI YA ASLILIMIA 1 YA FAIDA.AKIPELEKA KICHWA CHAKE KUSHOTO NA KULIA UJUE UMEPATA LABDA ASLIMIA 10. HAYA NI MAJIZI SASA TMESHAYAFUNGIA HAYATA FURUKUTA TENA UMUHIMU TUBORSHE LUGHA YETU TUSITUMIA HATA NENO LA KUAZIMA KUOKA LUGHA YAO ILI WASITUELEWE. HAWA WATAKAO TUSALITI NDIO TUJADILI TUTAWASAIDIAJE WAJITAMBUE. KAMA ILIYOADA NAPENDA KUWATAARIFU WATANZANIA WOTE DUNIAN MATUNDA YA UHURU YAMESHA IVA KAENI MIKAO YA KULA. WENU AKA PROF DR IN TUMAINI GEOFREY TEMU MAMBA KOMAKUNDI MOSHI TANZANIA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...