jumba kwenye keplefti ya dtv ikila nyundio leo kupisha kikwangua anga kipya
baadhi ya vikwangua anga vipya vilivyomea katikati ya jiji la dar. raha yake bomba za maji safi na maji taka ni zile zile za 1960 kweusi wakati dar ilikuwa na wakazi 250,000 na sio milioni 4 ya sasa. lakini pamoja na yote hayo bado to wanamipangomiji wanawapa shavu watu waendelee kupandisha vitu vyao

Tatizo majengo hayo ayaendi sambamba na park za magali
ReplyDeleteUmeme wa kupandisha lifti nao vipi?Au ni ngazi hadi ghorofa ya mia tukidai tunapunguza vitambi??
ReplyDeleteTambare ndio tatizo lake, watu ujanja wa domo tu utendaji aah! halafu wataalamu kila kona lakini kila mtu anaonyesha ufundi wa kuiba na kujilimbikizia.
ReplyDeleteTatizo kubwa linaanzia ngazi za juu hakuna mwenye mfano wa kuigwa, tuna wasomi wa kila aina lakini akiingia ofisini tu, ajenda ya kwanza ni kuerekebisha ishu zake kwanza, nchi baadaye!
Afadhali wewe michuzi kazi yako tunaiona umuibii mtu ni jasho lako tu, mi naona ungekuja huku maana maisha ya hapo kwa mtaji huu utanyanyasika tu!
Ok kaka michu, mimi ni mzee wa Modee blog. Nimekuelewa comment yako...ila mzee mimi sio kama unavyofikilia..nipo Ukerewe na sina dharau yoyote.hizi stori nazotoa ni something to laugh abt maana ni maisha yetu wote.mwenyewe nikija hapo nyumbani am living the same life, ila hapa huwa tunaongea kama kichekesho tu,ni kama wewe umtanie mshirika wako kuhusu vi-picnic vya kawe au msasani beach. hivyo my concerntration is to Ukerewe odience or blog readers. JUST GET A JOKE. Otherwise you will find it abusive. Soon I will start posting about wakerewe na maisha yao hapa once nikikubalika na jamii.
ReplyDeleteSorry for disturbance.Yours Modee jr
Idumu hii blog jamani!!! leo nimepata neno jipya bila kutegemea...KIKWANGUA ANGA!!! Yaani Skyscraper...duh!! kwakweli nimefurahi sana..
ReplyDeleteYaani Kaka Michuzi, Katika mijadala yako yote hii, ni kutia kidole kwenye jicho. You have said nothing but the honest truth.
ReplyDeleteDar, inatisha sana kwa kutazama infrastructure. Jiji limepanuka kwa kisasi, na infrastructure yetu ni ile ile ya 1960. Sehemu ambayo ilikuwa inaishiwa na family 2 leo sehemu hiyohiyo ina family 200.
jengo moja linahudumia asilimia 200 kwa kufananisha na miaka 20 iliyopita, lakini ukija bongo, kitu cha kwanza wabongo wanajivunia ni badiliko la jiji?? WTF?!!
We dont have sewer system, we dont have clean water supply and what are we bragging about? Cellphones!! Nice cars, 4 years later modification is what drives these vehicles... WHY are we soo backwards?? Even though you may not publish this post, I hope you read it and start educating...