Habari Michuzi,

Happy New year.Check hayo maisha ya watoto wengi huko Lufilyo, Rungwe. Ndio maisha taharishi!
Naomba wadau wako wanisaidie niweze kuwajengea angalau nymba ya matofali mabichi masikini yatima hawa.

LUCY' S HOPE CENTRE FOR ORPHANS
P.O.BOX 5511,
DAR ES SALAAM
ama P.O.BOX 260,
TUKUYU
Mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Jamani roho imeniuma sana mpaka machozi yamenitoka.

    ReplyDelete
  2. Tafadhali nitumie estimates za nyumba unayotaka kuwajengea na contacts zako including your phone number. My e-mail is singojr05@yahoo.com and my name is Kadari Singo. California-USA.

    ReplyDelete
  3. Haya ndio tunayosema badala ya kusaidia mabo ya maana tunaleta michezo ya kuiga ujinga elimination games.Hao wafadhili basi wasaidie hawa watoto wawatoe kwenye shida badala ya kuleta michezo ya kuiga.Watanzania tufanye mabo ya maana na kusaidia nchi sio kujitia ufahari huku watoto kam hawa wanalala njee.Oprah school was in trouble because she was not there to monitor the situation.I only trust me.

    ReplyDelete
  4. BWANA MICHUZI MIMI NAITWA BENEDICT NIKUMWIMIKA AMA CAMONDER KAMA NINAVYOJULIKANA HUKO MISSOURI NINATEGEMEA KUKUPA FUNGU UWAPE HAO OPHANS LAKINI INABIDI UWAMBIE WACHAPE KAZI HATA YA KUBEBA BOX HAPO MBEYA. MIMI NIMEFUTA MAVI SANAAAA HUKO MISSOURI KWA MIAKA KAMA KUMI NA MIWILI NA NIMEWEZA KUDUNDULIZA HELA NA NIMEJISOMESHA HADI KUMALIZA SHAHADA YA PILI YA UHASIBU. KWA MAANA HIYO LAZIMA NA HAWA NDUGU ZANGU WA MBEYA NAWENYEWE WAFANYE KILA KIBARUA KINACHO PATIKANA. ASANTE SANA KAKA MICHUZI HERI YA MWAKA MPYA.

    ReplyDelete
  5. It is the good idea to fund cherities. However in Tanzania it's almost imposible to maintain check and balance. So, how will the organization restore our confidence? How will they prove that is not a scum? Because it does happened every day that donations does not reached those who are targeted.

    ReplyDelete
  6. In Tanzania nowdays, knowing that there people who are touched by orphans and are ready to assist; a number of briefcase NGOs and UNTRUSTWORTHY INDIVIDUALS (matapeli) have cropped up. Based on this and common sense, we need a proof that this person seeking support for the shown orphans is recognized by the COMMUNITY (Stamped letter from Village Chairperson, Stamped endorsement letter from the Ward Executive Officer) and confirmation from the respective District Council.

    ReplyDelete
  7. Kijiji hiki ndiko alikozaliwa na anakotoka Mheshimiwa Prof Waziri Mark Mwandosya. Inabidi afanye kazi ya kuwasaidia hawa.Naamini uwezo anao sana!

    ReplyDelete
  8. NIKI whats up commender? hapa Jefferson city OAKVIEW tunakukumbuka sana mzee ulikuwa unapiga saanaa double wazee wote uliowaacha kwenye hii Nursing Home walikwisha kufa Sonja bado ni DON. Kijana uko wapi siku hizi? umeamua Kuvua Gloves, powder free gloves!! Bwana wee sisi bado tunaendelea kuchamba kama ulivyotuacha karibu sana Jefferson city bado kuna double nyingi tuuuu za kumwaga. Nimefurahi kukuona unatoa maoni ya kutaka kusaidia bongo,vipi bado unafuta mavi kama zamani ama umejihuzuru? Mimi ni George Onthongo from Kenya unaona tunavyo chinjana huko kwetu Kenya?

    ReplyDelete
  9. WEEEWE UNAYEJIITA NIKI TUNAKUJUA SAANA NI KWELI UMEFUTA MAVI SAANA JEFF CITY NA SPRINGFIELD LAKINI HUJAJISOMESHA KWA HELA YA MAVI UMEKULA MIKOPO MINGI TU SASA KAMA UNATAKA KUWASAIDIA HAWA OPHANS POA SIYO UTOE MATUSI ETI BEBENI BOX!? KAMA ULIFUTA MAVI SANA HIYO NI ISSUE YAKO NA HIYO SHOMBO YA MAVI NI YAKO HAPA MICHUZI KATOA ISSUE YA KUTOA MSAADA SIYO KUANZA KUELEZA KAZI ULIYO FANYA SIKU ZA NYUMA. TOA PESA KAMA IPO NA ENDELEZA CAREER YAKO YA MAVI PEACE!

    ReplyDelete
  10. fine watu hao wana matatizo lakini hoja yangu ni kuwa, hiyo NGO kama inataka kusaidia si isaidie bila kuomba msaada kama hawawezi basi huyo mwenye NGO ajitolee vinginevyo it does not make sense kuwa na NGO zinazosolicit for funds kutoka kwa watu. what are their functions??? wasilete utapeli

    ReplyDelete
  11. Mi niko Tayari kutoa msaada pia.Ila ninchoomba ni proof ya huyu mtu.Kwani WAZEE WA CHANGA LA MACHO BONGO WAMEISHA WAPIKU HATA WA NIGERIA.
    MICHUZI HII YAWEZA KUFANYAWA NA WEWE.FUATILIA UTUTHIBITISHIE.NA HUYU NIKI anaeongelea habari za box simuelewi kabisa.Hawa ndio wakifika huko wanapakana Bongo.wanajifanya hawaijui Bongo ilivyo.Box utapiga wapi??kwenye warehouses gani,au factory gani,au uta chamba divi wapi.Lucy tuwasiliana hapa. maddidy@hotmail.co.uk

    ReplyDelete
  12. We unaesema Prof. Mwandosya asaidie mwenyewe, FYI, huyo ni mke wake hapo juu na ndio yuko mstari wa mbele kutaka kuwasaidia hao yatima ila anaomba tu wenye moyo na uwezo wa kusaidia wasaidie. Kwa kuwa Mwandosya katoka huko sio lazima yeye peke yake ndio asaidie. Kutoa ni moyo.

    ReplyDelete
  13. 99% ya watanzania wengi hayo ndio maisha halisi,naona vigumu sana kusaidia pesa kwa watu kama hawa,nafikiri kuwasaidia watu kama hawa ni kuwasaidia kwenda shule maana ndio mkombozi wa kweli na utakuwa umewaondoa kwenuye umaskini kama huu na uwezekano mkubwa vizazi vijavyo havitakuwa na njaa kama hizi kama hawa wakienda shule...nakushauri michuzi kama uko serious kuwasaidia hawa watu,naomba utuambie tuchange school fees waende shule na lazima tujue details za shule na gharama ili tutoe kwa moyo,mimi niko tayari kutoa kama ukiwasaidia kwenda shule lakini sio pesa ya kuishi maana wengi wako hivyo na hatuwezi kusaidia wote na itakuwa ni kazi bure,wapatie mbegu za mihogo na maharage wapande wapate chakula kama ni njaa ndio hali halisi
    wenu mbeba box!

    ReplyDelete
  14. I wish to help but ningependa kujua kama hawa watoto wanakwenda shule ama la ; na je wameishi kwenye hali hiyo toka lini? Hali hii inawabili watanzania wengi na kwa maoni yangu binafsi ningependa kuona watu wanasaidia kuwapa elimu ili waongeze chances za kuja kujitegemea na kusaidia other family members.Please email me on ppp132@hotmail.com

    ReplyDelete
  15. Aisee wana blogu ya michuzi, kwanza kabisa ninamshukuru michuzi kwa kutobagua kwenye blogu yake! Anaweka picha za matukio, shida, misiba, raha na mustarehe, ajali, halio pata degree, walio maliza vidudu, siasa, na breaking nuzzz! Tumuunge mkono sana!!! Kwanza kabisa napenda kumuunga mkono Anonymous hapo juu. anasema ELIMU ndio itakayowaokoa hawa watoto na watanzania kwa ujumla. Mimi nimetoa msaada kwa NGO hio hapo juu. Amefanikiwa kujenga vocational centre kwaajili ya watoto yatima na wasiojiweza. Ana majengo matatu sasa na anaendelea kuwasaidia watoto huko walipo. Over 300 children anawasaidia. Anawasomesha na kuboresha makazi yao. Pili, kutoa ni moyo! kama mtu anataka kusaidia watoto hawa awasiliane na mwendesha NGO kwa maelezo zaidi. Itakuwa busara. Tatu na mwisho, kwa sisi tunaokaa nchi zisizo zetu (mpaka JK alete dual citizenship) tukumbuke nyumbani jamani!!!!! Kuna watu nawajua wanaogopa kuja nyumbani na wanauwezo. Kuna watu kweli hawana uwezo nawafahamu wengi. Hao nawasamehe lakini pia hata kujua maendeleo ya wanapotoka? Anyway, Kama JK (Vasco Da Gama)anavyo himiza watanzania, tukumbuke nyumbani jamani!!! Tusaidiane!!!! Tuache blah blah!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...