

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli kuna wanawake hata ukifikiria tu, unahisi kama wamejaliwa. yaani huwa napata picha nyingi sana kichwani nikimsikia huyu dada anaongea kwenye vipindi, hasa ile asubuhi. Nawaza kila aina ya wazo!
ReplyDeleteLakini kwa kweli Fina Mango umejaaliwa sana na uendelee hivyo hivyo. Mungu akulinde na mafisadi, na sijui kama wanaona kitu hapo. Maana nahisi brain iko sawa hasa.
Huyu dada sijui kasoma shule gani? Ningependa mwanangu awe kama yeye. Ngoja nikaangalie huko kwenye bongocelebrity. Kwa hakika unatukosha sana.
ReplyDeleteIla wanawake wa namna hii ndani ya nyuma kwenye ndoa mara nyingi kunakuwa hakutoshi. Hasa kama mwanaume wivu mkononi...! Kuna jamaa alioa na kumwachisha mkewe kazi pale ITV/RADIO one. Kisa Wivu. Lakini wakware wakaenda huko church..
ReplyDeleteBaada ya kusoma ile bolg ya bongocelebrity kuhusu FIna Mango kama ulivyotushauri hapo juu, nime-withdraw ideas zangu kuwa binti yangu ambaye nilisema ningependa awe kama Fina Mango. Sijafurahishwa na jinsi alivyojibu na presentation yake kwa ujumla. Nilikuwa na high expectation kwa kweli. Niko put off completely!. Sorry, but that is the true.
ReplyDeleteMichuzi usitudanganye. Phina Mango ninayemfahamu mie ni kibonge ya mama. Sasa mbona hapa unatuonesha kabinti tena kaduchu? Inakuwaje?
ReplyDeleteyou look class and i like your shoes,kumbe kuna wachumba wazuri bongo,wadau tukishuka itabidi tuwatafute tutoe salaam
ReplyDeletemdau from Beverly Hills!
NAOMBA TUJADILI HABARI HII. HIVI NANI NA AKILI TIMAMU ANADHANI HAWA WENZETU WEUSI WANAMITAJI YA KUWEZA KUTUENDELEZA. HUKO KWAO WAO KWA WAO IMEWASHINDA. ARUSHA WAMELIWA - WAJINGA NDIO WALIWAO. TUTAONA
ReplyDeleteArusha spruces up for the Sullivan Summit
2008-01-20 10:13:07
By Business reporter, Arusha
The Arusha City is currently undergoing a major facelift, estimated to cost 6.07bn/-, in preparation for the eighth edition of Sullivan summit slated for June this year, the city authority has said.
The week-long, Sullivan Summit will host nearly 3,000 Africa`s Diaspora, mostly from America and nearly 30 African Heads of State, Corporate Executives, Policy-makers and Academics who will discuss areas of cooperation and planning for infrastructure, investment, tourism and the environment across Africa.
``In what could go down in history as one of the most ambitious projects, the `reposition scheme` worth of over 6.07bn/- will see the `Geneva of Africa` status symbol become a reality,`` said Dr. Job Laizer, the Arusha City Executive Director.
The `Geneva of Africa` title became a popular catch-phrase, after the former US President, Bill Clinton who visited Arusha in 2000, compared the city with Switzerland`s city, hosting the United Nation`s offices, among other world organizations.
Clinton made the remark when he landed to witness the Burundi peace signing pact, which was negotiated by the former South African President, Nelson Mandela.
SOURCE: Sunday Observer
mmmm waosha vinywa mtaanza sasa hivi, mdada ulikuwa mzuri ile mbaya utotoni
ReplyDeletepampula2007@gmail.com
Fina ninapenda sana kukusikiliza ktk kipindi cha PB. Tunamwomba Mungu asikuchuke mapema, maana watu kama ninyi huwa mnapotea hivi hivi.
ReplyDeleteIla kuna neno huwa unalitumia ukiwa radioni mwenyewe huwa unasema "fulani mtamu" lina utata kidogo.
Kila la heri.
dada kazi unayofanya ni nzuri na tuanafagilia utangazaji wako redion
ReplyDeletejiendeleze kutoka hapo ulipo ili ufanikiwe zaidi na zaidi
regards
A very good human being all sense of the word. Stay modest and continue what you do best. Ubarikiwe.
ReplyDeleteHuyu dada hata mimi namuhusudisha sana brain imetulia mu kichwa , sehemu moja tu alibugi step kuchukuliwa na RM anampasua kichwa si mchezo atafute mtu mwingine mbona analipa tu!!
ReplyDeleteFina nakufagilia sana......, kwa kweli akili imetulia mwanangu... wewe, Gerard, na KP mnanifanya nisikose kusikiliza PB, nakutakia kila la heri kufikia dreams zako.
ReplyDeletemhhhhhhhhhhhhhh cjapenda tooo black hajapendeza kwa kweli labda tukaedit
ReplyDeleteBig Up Sistrin` keep ya` good work a gwaan.
ReplyDeleteBlessing!!
Umakini ndio ninachokukubali maana kipindi chenu ni cha kusema tuu si cha kutangaza kama ulivyosema.
ReplyDeleteGreat Job mdada u know wot ur doing.
said amesema wadada wa namna hii akukaliki ndani ni kawaida ya wangoni wanaume tu wanawatoto wakujifunzia sijui mambo kwa upande wakina dada ila uzuri ukiwa kwenye kazi ya utangazaji ukianza kama alivyoanza yeye utafika mbali angalia ema criss yuko capital nairobi na cv uwa inapanda ukiwa aujahamahama jitaidi dada amna mngoni mtangazaji.mnyalu
ReplyDeleteKwani mgao wa umeme umeshaanza tena? Mbona hicho kiwalo kina makunyanzi kama kimetoka kwenye kinywa cha ng'ombe?
ReplyDeleteHoja ya SULIVAN siyo ya hapa lakini yahitaji kujadiliwa. Hilo ni bomu linalotujia na viongozi wetu wamefungwa kamba! Samahani lakini hawa ndugu zetu weusi wababaishaji kama sisi wenyewe!!
ReplyDeleteRMNI Ruge Mutahaba? Any fafanua maana tuko kwa mawindo!
ReplyDeletePhina mashaallah "CHENI GUU LA KUSHOTO" looh unatwanga na kupepeta? Hongera.
ReplyDeleteYap annony wa 21st jan 11.46pm
ReplyDeleteRM =RUGE MUTAHABA
First lady mtarajiwa ndo maana yake!!
ReplyDelete