hizi namba mi zishanlewesha. wadau nisaidaidieni maana yake tafadhalini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. NAIBU WAZIRI katika ofisi ya WAZIRI MKUU anayeshughulikia BUNGE

    ReplyDelete
  2. MAZIRI wa NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU(BUNGE)

    ReplyDelete
  3. Michu hizo namba ni za WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGE, siyo naibu waziri kama alivyosema mtoa maoni wa kwanza.

    Nawasilisha.

    ReplyDelete
  4. kirefu cha namba hiyo ni,(WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU ANAYESHUGHULIKIA MAMBO YA BUNGE) full stop.swali jingine tafadhali

    ReplyDelete
  5. We Nawe?Mbu!

    ReplyDelete
  6. Mbu mwenyewe!

    ReplyDelete
  7. WATOTO - NANE- WA - MBU



    lol...
    SteveD.

    ReplyDelete
  8. waziri naibu wa michuzi blog ulaya

    ReplyDelete
  9. Wenye Nacho Wana Mambo Bora Ukubari

    ReplyDelete
  10. du,hiyo kali,steve d umenifurahisha sana.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 09, 2009

    Hilo ndo gari la Mzee Phillip Marmo MP-WN WM-BU
    Waziri WA nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...