HUYU NDIYE REHEMA CHESI MPILIPILI MDAU WA MILIONI 3 AMBAYE ATAJIPATIA ZAWADI YA DOLA 500

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Sister Rehema, kwanza nakupa pongezi kwa kutajwa kuwa mshindi wa milioni tatu.

    Hongera sana, lakini kuna swala nataka kukuuliza.

    Je ushindi wako utausheherekea vipi ?

    Na je unamajibu gani kwa wale wadau, ambao wanadai na wao wameshinda shindano hili, lakini kwa bahati nzuri ni wewe ndie uliyetajwa kuwa mshindi mhalali ?

    Choose your answers wisely.

    Nawakilisha.

    ReplyDelete
  2. (NAOMBA EMAIL YA REHEMA KWANZA) NAPENDA KUCHKUA NAFASI HII KUPONGEZA DADA REHEMA KWA JITIADA ZAKE ZA KUFANIKIWA TUNZO HILI AMBALO LILI KUWA LA MDA WA UREFU WA MOJA LA MAELFU YA NUKTA. ILI KUMUENZI DADA REHEMA NAMKARIBISHA RASMI KATIKA PILIKAPILIKA ZA KANDAA CHUO KITAKACHOTOA ELIMU KWA NJIA YA MASAFA KITAKACHOJULIKANA KA UNIVERSLA VIRTUE UNIVERSITY. CUO HIKI CHA AINA YAKE KINA MPANGO WA KUSAMBAZA ELIMU YAA JUU KWA VIJIJI VYOTE DUNIANI LAKINI KITAANZA KUFANYA KAZI TANZANIA KWA LUHGA YETU YA TAIFA. KUTOKANA NA MABADILIKO YA SERA ZA UWEKEZAJI WA MIAKA YA 2035 WAWEKEZAJI WATALAZIMIKA KUJUA KISWAHILI ILI WAWEZE KUWASILIANA NA WANANCHI WA KAWAIDA AMBAO NI WASHIKA DAU.SHERIA ZOTE ZA MIKATABA AMBAZO ZINAFUNDISHA HAPA KWENYE VYUO VYETU ZITAKUWA ZIMEFUTWA ZOTE BY 2020.HII IKIWA INA MAANA KWAMBA SHERIA YA MKATATA AU LAW OF CONTRACT INATAKIWA IANDALIWE NA PANDE ZOTE MBILI NA SIO PANDE MOJA NAWAKATI PANDE NYINGINE KAZI YA KE NI KUSAINI TUU WAKATI UNA SHIDA LAZIMA USAINI KUMBE NDIO UNALIWA. SHERIA ZOTE ZA MIKATABA DUNIANI NI MAAFA TU KWA HIYO HAYO MABADILIKO YATAANZIA TANZANIA. WALE AMBAO HAMNA TAARIFA HIYO NDIYO HALI HALIS TUNAANDA MATHERAPIST WA KUWATRAIN JINSI YA KUWABADILISHA. WENU KATIKA UJENZI WA DUNIA

    AKA PROF DR ING TUMAINI TEMU

    ReplyDelete
  3. HAPANA !!

    Inabidi iundwe Tume Huru ya kuchunguza uhalali wa huyu Mshindi.

    ReplyDelete
  4. "Chesi Mpilipili "
    Name rings a bell ,ni yule muandishi wa riwaya za kiswahili ?
    Alo Michuzi, ama unawapa marafiki zako waandishi wenzio ?
    Acha hizo za kuleta !
    Hongera dada nice smile !

    ReplyDelete
  5. michuzi huyu chesi mpilipili tunaemzungumzia hapa ndio yule mwandishi wa makala? au chesi mwengine? mie ninavyojua ktk mambo ya mashindano kama haya baadhi ya watu lazima sheria iwabane kwenye ushiriki iili kuondoa dhana ya upendeleo mfano kama huyu mke wa chesi. chesi mpilipili ni mwandishi wa habari na sikosei na wewe binafasi michuzi mnafahamiana sasa hapo kuna imani kweli?
    by mr C.T

    ReplyDelete
  6. Yaani hii imenikumbusha ile tafrija "bubu" ya kumwapisha Mwai Kibaki mwanzoni mwa mwaka huu. Ilikuwa kama ile "ndoa ya mkeka", kama walivyowahi kuimba wanamuziki fulani huko Bongo enzi hizo, kwamba "haina sherehe, haina mdundiko wala watu kula kunywa!"

    ReplyDelete
  7. Hapo michuzi yunataka TUME, wadau tunagoma kabisa!!!!

    ReplyDelete
  8. Eh! Sikujua. Kumbe marafiki zake Michuzi walikuwa hawaruhusiwi kushiriki hili shindano??? kaaaaz kwel kwel...! teh teh

    ReplyDelete
  9. Yap, I Like her Smile. Seems she is Sincere uneough. just too bad for the 'politiki' she has been thrown in....congrulatulations, mama.

    ReplyDelete
  10. Mjukuu Michu, un hatar weye wallah!
    Hiki Kifaa cha muandishi mwenzio umekitoa wapi?? nimekipenda.

    ReplyDelete
  11. Dada, nimekuona na nimekupenda. na ninaamini kabisa sasa kuwa zawadi umeishinda kihalali. Pongezi.

    ReplyDelete
  12. huyu Dada namfahamu sana na mumewe.
    ni watu freshi tu. wanatengeneza juisi safi sana na ina maketi sana pale mitaa ya msichoke magomeni. pongezi kwa ushindi. ninaslimie wale watoto wako wazuri sana Devi, Desi na Royi.

    ReplyDelete
  13. Jamani, michuzi ameishaamua, hivyo tukubali yaishe ili Blog yetu iendelee kuheshimika. manung'uniko sio kitu chema. dola mia tano isiwe kitu cha kututoa roho kiasi cha kuanza kutoa maneno yasiyo faa. Tuheshimuni uamuzi wa mwisho. Sister, pongezi kwa ushindi wako.Halafu umependeza. tafadhali nielekeze eneo ulipo hapo Migo nije kukubomu japo jero...! he he he, jas joking!

    ReplyDelete
  14. We anony wa 25 jan 4:10 unasemaje?
    Tume? HATUTAKI!! Wabongo mnaendekeza sana Tume kwa ajili ya Ulaji!! tuunde tume ya kuchunguza ushindi wa dola mia 500 halafu itumie dola 700?? Hatutaki Mitume, tumechoka kuibiwa! mchezo umeisha, mshindi amepatikana, full stop. siku hazigandi!!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. Rehema hongera sana dada umetotoa kimasomaso kina mama mwaka wetu huu. Tumeanza na Twiga Stars na bado itatesa halafu umekuja Da Rehema na mengine kwa kina mama yatafuata.

    Rehema dunia ndivyo ilivyo, hiyo dola 500 imeshawatoa watu imani wanasema mengi na watasema mengi achana nayo, matokeo ndio yameshatangazwa na wewe ndiye mshindi full stop. Ooh sijui mke wa Chesi, ooh sijui anamjua Michuzi sio hoja, hoja ni kwamba wewe kama individual, a woman with her own identity umeshinda fullstop. Na wanaume walivyozoea mfumo wao dume wanakatabia ka kuona kuwa mwanamke hawezi chochote hapa duniani ila ni wao tu ndio wanaoweza kila kitu. Sio sasa. Tunataka tuone Michuzi akikukabidhi pesa zako haraka ili tupumzike na kelele za mlango!

    ReplyDelete
  16. wabantu mnamind kweli yaani hicho kidola 500 kinakutoweni roho

    ReplyDelete
  17. sister hongera sana inaonekana ulifunga kambi hapo kwenye pc

    ReplyDelete
  18. chesi and rehema? I know the family. they are respectable around
    where they live. I am very SURE too that the Lady is the genuine winner. it is just too bad that circumstances are making it seem otherwise...

    ReplyDelete
  19. Dada rehema hongera.. kumbe computer yako kama za kwetu ughaibuni ingekuwa zile za bongo za kichogo mpaka iwake shindano lishakwisha zamaniiii...bongo tambarareee

    ReplyDelete
  20. michu hebu acha uzushi bana na unigeria...
    mbona na yule mshindi mwingine naye anasema ameshawasiliana nawe ila wewe hujamjibu kitu???!!!!
    michu michu michu tasaaafali safisha jina lako usionekane nanihii banaaa huyu wanasema ni mke wa best yako na yule wa man utd na arsenal naye wataka mzika???

    ReplyDelete
  21. Rehema, ni wewe?? pongezi. Tulimaliza wote Usagara Sec School, Tanga. Class ya 1987. msalimie shem.

    ReplyDelete
  22. kwa hiyo hizi mia tano sio shillingi!kwa hiyo dada unaweza kununua sabuni,mafuta,sukari,chumwi,dagaa,unga na zikibaki chenji basi wanunulie watoto peremende!!!

    ReplyDelete
  23. Jamani kwanza mimi nampa hongera sana huyo dada,pia naona kusema kwamba hivi kwa kweli jamani hivi usawa wa hapa dar mtu atoe milioni tatu hivi hivi inamaana nisha kwamba tupo mbali sana au vipi mimi hapo nitakaa kabisa kwanza tutaamini vipi kwanza siajabu anafanya naye kazi hahaha acheni mchezo jamani milioni 3 nyingi sana kwa hiyo hapo msikubali kabisa.

    ReplyDelete
  24. Wee anon wa 26 Jan saa 5:51 AM.

    Inaelekea wewe uko uliko maisha yanakugonga sana na tangu ulipozamia kwa watu na hivi huna makaratasi ya halali hujarudi Bongo na hujui nini kinaendelea Bongo. Mbona hiyo M3 ni kodi ya nyumba tu tena ya miezi sita? Upo hapo kama unataka chumba kimoja Kinondoni labda na sebule kinavika laki. Nyumba nzima unalipa kuanzia laki 5 kwa mwezi na hapo si nyumba za Mikocheni maana huko kodi ni juu. Na watu wanalipa kodi ya mwaka mzima.

    Unashangaa 3m eti ni nyingi, rudi nyumbani wewe watu wanauza mapesheni na matikiti ya nusu eka tu na wanapata hizo 3m.Wengine huo ni mshahara wao wa mwezi mmoja, wengine miezi 2 wengine mitatu. Sasa unaona ajabu nini? Rudi nyumbani mwanawane ukaone kama hutajificha ndani kwenu usitoke nje kwa aibu maana pengine mtaani kwenu ni nyumba yenu tu ambayo haina maendeleo kwa wewe uliye nje kushindwa kuwasaidia ndugu zako kwa kuona 3m ni nyingi. Khe nilisahau hiyo ni ada ya shule ya msingi yenye kufundisha kwa kiingereza, lakini unailipa in US $. ambayo imepachikwa jina la International school.

    ReplyDelete
  25. AMEKAAKAA KIFISADI TUPU

    ReplyDelete
  26. Anon wa Saturday, January 26, 2008 5:51:00 AM EAT hao juu naona huelewi hata kinachoendelea!

    ReplyDelete
  27. We anony wa Jan 26 2:32 STOP BEING SUCH A BAD LOSER! sina haja ya kuwa
    mtabiri lakini naamini huyo Bi Rehema ana familia yake na bila shaka alifurahi na kuwaonyesha picha ya ushindi wake. Nina hakika, kwa kauli KAMA YAKO atakuwa anajutia ushindi wake na siamini kama atakuwa bado anawaruhusu watoto wake kuangalia mtandao huu. sitaki kuamini kwamba wewe na watoto wako mtajisikia vyema mkeo/mama yao akiitwa FISADi, labda kama ni fisadi kweli. GROW UP and STOP BEING A MALE CHAUVINIST PIG! na kama wewe ni mwanamke mwenzake basi acha Wivu dada, mwenzako keishapata! HESHIMA NI KITU CHA BURE.

    ReplyDelete
  28. Umempa Shem hiyo zawadi

    ReplyDelete
  29. Mhh!
    Annon Jan 26; 5:51 ni KIMEO ha nguvu. Imetoka wpi hii ngoma?! Kweli bloguni tunakutana na vituko uda wote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...