msshindi wa big brother africa 2007 richard akiongozana na mkewe majuzi wamezuru nigeria ambako wamepokewa kwa shangwe na wadau wa huko. habari zaidi bofya hapa uende kwenye tovuti mpya ya richard mwenyewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Huyu kijana jamani atafute mtu wa kumshauri kuhusu hiyo hela alopata huko, maana inavyoonesha jamaa anatanua tu! Atamaliza hela yote na mwishowe tutamwona anafungua genge lenye fungu mbili za machungwa! Achunge asije akabakia tu na hadithi "oh nilishinda bigi braza", wakati huo hana kitu, hata watoto wa kijiweni watamwona kichekesho!

    ReplyDelete
  2. Haooooooooo wamerudiana waosha vinywa kazi kwenu, na huko Nigeria anaenda kumtafuta nani na yuko na mai waifu wake au OFFUNEKA???, Take Care Richie.

    ReplyDelete
  3. Hivi ndio inatakiwa na Mungu, misukosuko tuliishuhudia dunian pote wao aag saa hizi wanakula beef zao, sasa wengine comments kidogo tuu ndoa inavunjika

    nawapongeza Mr & Mrs mmependeza,

    ReplyDelete
  4. mwacheni mtoto wa watu, alijitahidi kwa juhudi zake kwa kweli, hongera kaka richard, god bless you.

    ReplyDelete
  5. kaka michu fagilia rich wa kweli kweli huyu, website imetulia ni nzuri aisee, mpe hongera zake.

    ReplyDelete
  6. bro michu sio kama namfagilia huyu richard, ni jinsi alivyo na moyo wa kujieleza kwa watanzania, na kushukuru watu.

    ReplyDelete
  7. Ai huyu huko naiheria anaenda kutafuta nini? WAPOPO watakuingiza mjini!
    Huku wanaliza mabenki! Shauri yako!

    ReplyDelete
  8. Da nimefurahi sana mshikaji, ku-solve issue yake na my wife wake. good lucky Dude

    ReplyDelete
  9. Wasirudiane?mchezo nini halafu wakae miguu juu wacha bwana yote biashara tu.rich umeenda kwa mapopo angalia usije ukamuacha tena wife kuna popos hapo tayari kuchukua ngoma nyeupex2.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...