mdau mohd khatib wa oman anatoa salamu za pole kwa watani wetu wa jadi wote kwa maswahiba yanayowakuta baada ya uchaguzi mkuu. anawaombea amani na kusikilizana ili hali irudi kuwa tambarare kama ilivyokuwa kabla ya hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. I belive in nice demonstrations with no blood shade and that is the reason I like J.K Nyerere,Nelson madiba mandela,Martin Luther King.Kenyans should have not kill people to make the point.Africa is a beautful place but few people make it look like a dark place.Ni kweli Raisi wao sio mtu mzuri na watu hawamtaki,cha muhimu ni ajing'atue.Huwezi kuongoza nchi wakati wengi hawakutaki,huo ni udikteta.Hizo picha za watoto zinasikitisha sana.Kuchoma nyumba zao wenyewe moto inaonekana kama ukichaa.Anyway to me is stupid the way they did it with blood shade.Kenyans need to unite.Ukabila umezidi since way back,they hate each other.And their government is been the worst in Afrcan soil.

    ReplyDelete
  2. Huyo raisi ajihuzulu kama hatakiwi maana nimeona picha za maiti watotto wengi sana tena vidogo mno.Vita huwa sio nzuri sasa ona hata wabritos wenyewe hawana habari.Naona hata EU haionekani itasaidia.Wazungu si watu jamani.Wakenya waungane wamalize migogro ya ukabila.Ukabila kenya ni kila siku kama wamepagawa,hakuna raha kenya kabisa wala amani.Tunawaombea utulivu na watanzania tujifunze sana haya mambo ya fujo si mazuri,watu wasio na hatia wanakufa bila sababu.Maanamano ya fujo si mazuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...