bosi wa sofia records mussa kissoky akityuni bezi langu huku zavara mponjika akipiga jalamba
papaa isaack kibodya akitia sauti ya kwanza katika studio za sofia records leo wakati mie yeye na zavara mponjika tulipoingia studio kutengeneza singo yetu. kumbe ni kazi kweli kweli kutengeneza muziki na hadi sasa tumekamilisha robo tu. singo yetu hatujaipa jina bado ila nahisi huenda tukaiita 'mdau wa wadau'

Mie pozi lako tu michuzi.....
ReplyDeleteChief Ramson nae???
ReplyDeleteE bwana kuna mshikaji flani mlikua nae KU-Crew, alikua anaitwa Baggzy Mallone, yuko wapi yule mshikaji?Alirudi south?
Kuna songi moja hivi la (kama unajua we) UTAONA, Verses zilikamuliwa kinyamwezi na chorlous jamaa akatambaa kibongo
We Michuzi unatuibia sasa! Tangu lini umekuwa mwanamuziki!!! MH!
ReplyDeleteWabongo bwana kwa uzushi tumezidi! duh!!!! kila mtu mwanamziki. mmh haya bwana
ReplyDelete