Home
Unlabelled
sofa la mafisadi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh...lazima uwe na msosi na matako ya chuma kukaa juu ya sofa hilo!!!...made in wapi hiyo???
ReplyDeleteyaliyopita ni mengi sana nchi hii kuhusu ufisadi na wahusika kutajwa, basi kama kochi ni hilo tunategemea watakaolikalia kochi hili wataanzia walioko juu madarakani kuja chini na si chini kuishika katikati. Kila la heri JK katika kujisafisha na yanayosemwa juu ya serilai na watendaji wako
ReplyDeletekamuuzie Dokta Balali seseseko wa BoT.
ReplyDeletemr jamjuah
Doh!kweli noma!.hivi ninani amelitengeneza hilo sofa?na hao mafisadi ndio wakinanani?kweli nimenawa.
ReplyDeletebadala ya kumfumga balali jela, ambapo atawafisadi akina bwana jela, wamwekee nyumbani kwake hili sofa awe anakaa hapo anaangalia tv kila siku, kiwe ndo kifungo chake, maana wakimpeleka segerea ataishi kama yuko paradiso! atakuwa anachukuliwa na limousine kila jioni kwenda kujichana out na kulala kwake kama wakimpeleka segerea!
ReplyDeleteLa la la la mmmh MISOUP.KWELI MNATUONYESHA MAFISADI MNAVYOTUNYONYA HILO HATA BUSH HANA.LO MAFISADI MMEADVANCE
ReplyDeletehiyo ni arabuni nini
ReplyDeleteINJI IKIFIKA MAHALI VIONGOZI WAKE WANAITWA "MAFISADI" BASI NI WAKATI MUAFAKA WA VIONGOZI KUJIULIZA WANAFANYA NINI NA NCHI WANAIPELEKA WAPI?
ReplyDeleteaisee hiyo mimea kama visahani ninayo shambani kwangu ipo mingi kama uzio fansi ya shamba, itabidi weekend hii nikaifanyie utafiti kuona ile miiba ni mikali kiasi gani na hayo magogo ya upupu kama unawasha au vipi, ili niweze kujua kiasi gani hilo kochi linawashinda hao mafisadi maana hapo liko tupuuuuuu watu wako uneasy kiasi gani? watu suruwali zinabana saa huu mtoto wetu
ReplyDeletehuu ndio ubunifu,IKEA waige ubunifu kama huu,sio kutuletea furniture za ajabu.Lakini linakalika labda hao mafisadi walione joto la kochi.Mie nimefurahishwa na hiyo arrangement watu wa interior design they know what I mean.
ReplyDeletempelekee kikwete ikulu akakalie hilo sofa linamfaa yeye rais bishoo wa africa kwa kupenda masifa hilo sofa litamfaa kikwete kabisa alikalie tuone.
ReplyDelete