Home
Unlabelled
suti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo suti ni 2 tone jamani
ReplyDeleteIssa Michuzi, Zambia(kaunda)Suti imetulia hiyo fundi cherehani gani huyo kakushonea vizuri kali sana Piga Mashati ya Mandela sasa ya Singapore Suti za kizungu hatutaki tena mjusi unakabwa vizuri kama una maadui. Issa michuzi imetulia hiyo.
ReplyDeletemamaaaaa....WOOOOOw michuzi hiyo ni MANDELA SUTI. (sio kaunda suti)
ReplyDeleteMichu hiyo ilikuwa mwaka gani??
ReplyDeleteWEWEEEEEEEEEEEE MICHU
ReplyDeletehiyo suti au vazi la asili !!!!
mwe!! mie nilidhani ni vazi la huko kwenu unakotoka sijui wapi vile?
loh !!! hii kali
unajua kuchekesha watu wewe
keep it up
mdau canada
MAMA SALMA KIKWETE AKIVAA MAVAZI YA KIAFRIKA KWANZA ANAPENDEZA,PILI SISI WATANZANIA TUNA FURAHI KUMUONA AKITOKA NA VAZI LA ASILI NA LA HESHMA PIA.KWAHIYO MICHUZI MIMI NAFIKIRI WANAUME WA KIAFRIKA KAMA MAWAZIRI,WAANDISHI WA HABARI NA MAOFISINI BADALA YA KUJIKABA NA SUTI ZA KIZUNGU HIYO KAUNDA ULIYO VAA NDIO LINGEKUA VAZI RASMI KWA WANAUME,ILA MPIGE PICHA BUSH ANAKUJA TANZANIA ANAKABIDHIWA VAZI HILO ILI AENDANE NA VAZI LA TAIFA SI KICHEKESHO.
ReplyDeleteMichuzi mimi nakumbuka picha hii!! Ilikuwa ni miaka ya tisini kule Zanzibar, kama sikosei hapo ni uwanja wa Amani! Ila sikumbuki kama ilikuwa ni mechi ya soccer au shughuli ya kitaifa.
ReplyDeleteKIDUME, USA
Suti za kazi hizo...mifuko kibao!!!
ReplyDeleteMAJASHO!
ReplyDelete