The mining of tanzanite nets the tanzanian goverment approximately USD$20 million annually,the finished gems later being sold mostly on USmarket for sales totaling approximately USD $500 million annually.
Asante kaka michuzi nataka wadau watueleze hii imekaaje?
mdau jaffer
mdau aeleze amaepata wapi hizo data? asilete maswali ya kizushi kama unavyosema. source of information ni muhimu inawezekana amesikia manzese yanazungumzwa hayo. tukipata uhakika wa hiyo info tutachangia 20 by 500 sio amount ndogo sidhani kama serikali ingekaa kimya.
ReplyDeleteTatizo ni vingozi wanchi yetu, wameweka their individual interests kwanza kabla interests za nchi. Tangu Raisi wa pili, viongozi wetu wanaonekana hawana solutions ya matatizo ya nchi. Bad governance, corruption, economic mismanagement na lack of direction, vision, innovation na positioning ya nchi kwa sasa na future. Tungekuwa na utamaduni wa kuweka interest ya nchi kwanza tungepata maendeleo makubwa.Kuhusu Germstones serekali inatakiwa ifikilie kama biashara. Lengo lake la kwanza ni ku maximise profit. sikuhizi hamna kitu kitacho tusimamisha sisi kuchukua technology ya kukata na kusafisha germstone na kuuza nchi za nje katika Retail price rather than wholesale price. kufanya hivyo tu kutaleta ajira za kazi nchini na maximasation of profit katika resources za nchi. Tanzania itachukua muda sana kuja kupata maendeleo prediction yangu labda 50 to 100 years from now. Tatizo nchi nyingine za kiafrica zikiamka tutaachwa nyuma. Sisi tulitakiwa kuwa wajanja sasa na ku take advantage wakati nchi nyingine ziko busy na internal conflicts
ReplyDeleteMichuzi, nataka kum-update mdau na data zake...c kweli kwamba GoT inapata USD 20 from Tanzania. Tanzanite One Mining Limited which is the giant miner of the tanzanite in Tanzania (more than 80%) are getting the average of USD 10 million as net profit. hii ina maana watalip[a kodi ya asilimia 30 tu ya wanachokipata.
ReplyDeleteLakini ikumbukwe kuwa hawa jamaa wanaojifanya wawekezaji wameanzaisha kampuni nyingine kivuli huko southafrica ambao ni wanunuzi wa Tanzanite. kwahiyo ni kama wanajiuzia wenyewe kwa bei ndogo ili wasilipe mrabaha (royalty) kubwa na vileviel inawasaidia kupata accounting profit ndogo. mwisho wa siku hiyo kampuni hewa ndo inaingia kwenye soko halisi la Tanzanite na kupata billions of money. kwahiyo serikali ya south africa ndo inafaidika na hiyo tanzanite kuliko hata sisi.
haya yote yanajulikana na viongozi wetu sema tu ni ulafi wao ndo maana wanaifumbia macho.
kuna kampuni kubwa sana huko visiwa vya barmuda inadeal ni Tanzanite yetu na inaingizia hela nyingi sana serikali yao...sisi huku serikali ya CCM inatuua njaa...
TUTAENDELEA KUWA MANDONDOCHA MPAKA LINI??????
yap thus cool
ReplyDeleteimekuja wakati muafaka, hivi ndio vitu ambavyo wanafunzi walitakiwa kuandamana na kuhoji uhalali wake na sio ucahguzi wa kenya. ya kwetu yanatushinda tunaingilia ya wenzetu
ReplyDeleteMichuzi, nataka kum-update mdau na data zake...c kweli kwamba GoT inapata USD 20 from Tanzania. Tanzanite One Mining Limited which is the giant miner of the tanzanite in Tanzania (more than 80%) are getting the average of USD 10 million as net profit. hii ina maana watalip[a kodi ya asilimia 30 tu ya wanachokipata.
ReplyDeleteLakini ikumbukwe kuwa hawa jamaa wanaojifanya wawekezaji wameanzaisha kampuni nyingine kivuli huko southafrica ambao ni wanunuzi wa Tanzanite. kwahiyo ni kama wanajiuzia wenyewe kwa bei ndogo ili wasilipe mrabaha (royalty) kubwa na vileviel inawasaidia kupata accounting profit ndogo. mwisho wa siku hiyo kampuni hewa ndo inaingia kwenye soko halisi la Tanzanite na kupata billions of money. kwahiyo serikali ya south africa ndo inafaidika na hiyo tanzanite kuliko hata sisi.
haya yote yanajulikana na viongozi wetu sema tu ni ulafi wao ndo maana wanaifumbia macho.
kuna kampuni kubwa sana huko visiwa vya barmuda inadeal ni Tanzanite yetu na inaingizia hela nyingi sana serikali yao...sisi huku serikali ya CCM inatuua njaa...
TUTAENDELEA KUWA MANDONDOCHA MPAKA LINI??????
Sasa mnashangaa nini hapo, kila siku watu wanaichagua CCM ambayo imefeli for 40+ years. Politicians have nothing to fear, wanajua watanzania wanagopa mabadiliko daily wataichagua hiyo hiyo CCM. So wanafanya wanachotaka, makosa ni yetu wananchi in the end.
ReplyDeleteHivyo ndivyo mambo yanavyokwenda; wale ambao mnatoa raw materials mnaambiwa kuwa gharama ya transportation to processing plants, processing (skills, machines, etc.), pamoja na marketing ndivyo vinavyopandisha bei namna hiyo ... Na mwishowe mnaambiwa pia mfurahie kua mnapata angalau hiyo USD 20 million, manake ujuzi wa wa kuitengeneza hiyo Tanzanite mpaka ifikie accepatable standards hatuna, na ingeachwa udongoni hata USD 20 million tusingeipata. Hamna cha siasa wala viongozi wenye ubinafsi. Na tujenge viwanda vyetu kwanza vya kuprocess, na tuwe na specialists pia...
ReplyDeletehizo data hata zisipokuwa za kweli lakini zinaelekea kwenye ukweli, kuna jamaa anasema serikali isingekaa kimya, mbona mambo mengi sana serikali inayafumbia macho, na katika migodi yote hakuna mkaguzi kutoka serikalini anayekagua madini kiasi gani yamepatikana. na hawa wawekezaji mara nyingi wametuzidi kete kiujanjaujanja. mara waseme wanaenda kechekecha mchanga afrika kusini mara waseme bado wako kwenye survey wanaenda kupima mchanga, yote hiyo ni uongo tu. na kuna sheria inayosema mwekezaji kwenye sekta ya madini kodi yake isizidi 200k usd je data hizi mnaziitaje?
ReplyDeleteSIPENDI KUSEMA LAKINI NDIO UKWELI TUTANYONYWA MPAKA SIKU WATANZANIA WATAKAPOAMUA MAPINDUZI YA KWELI
hata kama ingekuwa ni kweli according to this data it would mean that the government are getting 4% of sales. Currently the royalties u need to pay on tanzanite sold set by the government is 5% so that shows a strong corallation....we also need to remember that there is a big difference between purchasing rough tanzanite and selling polished tanzanite that is already processed and fixed on jewellry...the value increases significantly....where as you can sell 1 gram of grade AAA for avg of $700 (around 3 carats)...it is very common to be able to sell polished stones at between $700-$1,000 per carat...thus royalties paid on $700 1 gram of tanzanite is $35 however the same 1 gram if cut professionally and with some luck on your side can give you up to $3,000.00 so the real question is why doesn't tanzania cut its own stones; an avenue which the government has tried to pursue but failed. The answer is we dont have enough good cutters in the country. And it is common to cut ur stones in Tanzania and take them abroad just to get rubbish prices. Solution: Tanzania should bring in proffessional cutters from india enough to handle the local production capacity and then move to ban the exportation of rough tanzanite....
ReplyDeletekaka michuzi wewe mwenyewe kama muandishi wa habari unatakiwa ujue data ndogo kama hizi.huyo mdau wala ajadanganya kwani data hizo mimi niliziona mwaka jana.unajua katika maisha yangu nilikua nasikia tanzanite tanzanite bila kufanikiwa kuiona sema nilijua kwamba inapatikana tanzania peke yake.siku nikaja kuiona kwenye duka moja huku nchi zawatu na nilivutiwa kwa kweli kiasi cha kwamba nikainunua kama zawadi.sikuacha hapo ikabidi niingie kwenye mtandao na kugoogle tanzanite na hapo ndio nilipoona information ambayo ukitoa kuhusu hayo maneno ya mdau hapo juu ni kwamba inasemekana tanzanite nyingi inatoroshwa nchini kinyemela.hizo data ni za kweli mnaweza kugoogle mjioone wenyewe.mdau ajakosea.
ReplyDeleteHII INATOKANA NA UKARIMU WETU, TUNATAKIWA TUWE WAKARIMU ILI TUWAVUTIE WAWEKEZAJI WAJE WATAJIRIKE. TUKUMBUKE RAISI MBEKI ALIPOTEMBELEA TANZANIA ALITUSHANGAA SANA KWA UKARIMU TUNAOWAFANYIA WANANCHI WAKE WANAOKUJA KUWEKEZA TANZANIA. LONG LIVE CCM.
ReplyDeleteHuyu mdau aliyechangia kuhusu cut and rough tanzanite ni limbukeni na kwa namna hiyo utaendelea kunyonywa hujo migodini mpaka mwisho wa safari yako....ndo nyie mnadanganywa kuwa serikali haina hela ya kufamya uwekezaji kwenye madini wakati kuna ziadi ya bill 140 imeibiwa kwenye account moja tu ya BOT....hizo hela zilizoibiwa kwenye account moja zinaweza kuestablish mining projects c chini ya tatu....
ReplyDeletekwa taharifa yako tu kuna kuna kampuni zinakata tanzanite tena vizuri...
tatizo lililopo ni uvivu wa serikali yetu kwenye investment...tukijitangaza vizuri soko ni kubwa sana....kwani hao wahindi wanatanzanite kwao...tukizuia ni kwa vyovyote hawana jinsi
kikubwa ni kujitangaza
All i am saying is it is unfair to compare the % the gorvernment got from sales of rough stones by looking at the revenue gained on polished or cut stones..The government is trying to do something about this situation in the way of an Export Processing Zone in Mererani...Tell me since you are so clever if there is enuff capacity kwanini local investors hawaleti watu wenye expertise yaku tosha ku-fill in the so called gap in the market...limbukeni ni wewe wengine tuna weka observations from the grassroots not from sitting on forums debating...nyambafu!!!
ReplyDeleteWe limbukeni mchimba mawe inaonyesha thinking capacity yako ni ndogo sana....hivi unajua kampuni inayochimba tanzanite mererani ina capital ndogo sana?? hivi unajua kuwa wao ndo waliokamata eneo zuri pale mererani...hivi unajua zaidi ya asilimia 80 ya tanzanite inachimbwa na kampuni moja hiyo ya nje?? hivi unajua kuwa tanzania tuna hela yakutosha yakufanaya ivestment ndogo kama ya mererani? kama utayajua hayo basi pia akili yako ingefikiria mbali kidogo na kujua kuwa hiyo revenue tungeipata kama tanzania ingefanya investment yenyewe na kuingia sokoni kuliko kutegemea royalty....we fala utachimba sana madini huko porini na kulipwa mishahara duni na hao makaburu....
ReplyDelete