Wananchi,
On behalf of the family and Tanzanians living in Houston, I sadly announce the death of our brother Felix Chambi (aka Felix Makene) pictured above.
Felix passed away on Thursday morning (24/1/08) after having a stroke on Monday night (21/1/08). Felix leaves behind his wife Maryam and young son Baraka. Condolences can be offered to Felix’s family at their home on8618 Rose Garden, Houston, TX, 77083.
You can also call: Maryam (wife) on 832 865 3366 or 314 369 2338

Alfred (brother) on 314 584 9708

Mchuma (sister) on 314 489 3248


The community of Tanzanians living in Houston is making plans to transport Felix from Houston to Tanzania next week.


CONTRIBUTIONS:
As we all know, the costs of transporting Felix’s body from Houston to Tanzania will be high. We have estimated the total cost of this process to be $22,400. While any amount you donate will be greatly appreciated, we are recommending that Tanzanians living in Houston contribute around $100 each.


The Tanzanian Community in Houston will conduct a fund raiser on Saturday (1/26/08).
The fundraiser will begin at 4pm and will be held at:Safari Party Hall (Kwa Inno) 8951 Bissonnett, Houston TX 77036. Like always, men should bring drinks and women food to the fundraiser. Ladies can get in touch with Nuru Mazola and gentlemen with Alex Tibaigana for further information on our needs.


If all goes well, we plan to pay our last respects to Felix on Sunday (1/27/08).

You will receive more information on this as it becomesavailable.
If you have any questions please feel free to contact thepeople below.

Miraji Malewa 713 373 6525

Nuru Mazola 832 630 8090

Anita Massawe 832 721 3832

Rosemary Mlekwa 832 867 2140

Muddy Chamshama 713 203 4629

Jadi Malumbo 713 419 6803

Karim Faraji 713 702 9050

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. KAKA MICHUZI, NIMEPOKEA KWA MAJONZI NA MASIKITIKO MAKUBWA SANA HUU MSIBA WA FELIX CHAMBI.. EE BWANA NAONA KAMA NI NDOTO.. DUUH..MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA NDUGU YETU FELIX CHAMBI...JAMANI, MCHUMA,FREDDY, MAKENE .. POLENI SANA NDUGU ZANGU.. WOTE TUNAELEKEA HUKO.. HATUJUI SIKU WALA SAA.. SALINI SANA JAMANI MAISHA MAFUPI SANA... Mama Brandon

    ReplyDelete
  2. Pole kwa Maryam na baby baraka, pole kwa ndugu wote, na pole kwa watanzania wote..mwenyezi mungu awape nguvu na faraja
    msiba ni msiba ila huu wa kutokea mbali na nyumbani, unachanganya zaidi...mungu atawajalia fungu la kutosha, muufikishe mwili wa mpendwa Felix akapumishwe nyumbani.
    Pole tena,
    R.I.P Felix..

    ReplyDelete
  3. Jamani....Rest in Peace..! poleni sana .

    ReplyDelete
  4. Nimezipokea taarifa hizi kwa mstuko, huzuni na masikitiko makubwa.

    Bi Maryam, Baraka, ndugu, jamaa na marafiki wote tutakiane faraja. Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema yu pamoja nasi. Amen.

    Ni mimi mwenzenu,

    Fidelis M Tungaraza.

    ReplyDelete
  5. Kwa hiyo hiyo picha ndiyo ya marehemu au?

    ReplyDelete
  6. Account itafunguliwa leo kwa ajili ya wachangaji waliopo nje ya Houston.

    ReplyDelete
  7. Pole sana mjane, pole sana Baraka, pole sana ndugu, jamaa na marafiki. Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki cha majonzi makubwa. Namwomba Mwenyezi Mungu aiweke pema peponi roho ya marehemu Felix.

    Revd. EVM

    ReplyDelete
  8. Jamani Poleni sana wafiwa, nilikuwa nauliza ni Makene wepi hawa, maana najua Kuna Makene walikua wana kaa jirani na Leaders Club na baaye Obay, ni hao?

    R.I.P Felix

    ReplyDelete
  9. R.I.P Bro Felix..... Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki!!!

    ReplyDelete
  10. NILIMFAHAMU MAREHEMU WAKATI NAISHI JEFFERSON CITY. REST IN PEACE FELIX

    ReplyDelete
  11. poleni sana watanzania wote,bi Nuru kuwa mwangalifu sana na yote uyafanyayo!Mwenyezi mungu anakuona!!

    ReplyDelete
  12. What a loss, such a gentle man. May god rest his soul in peace, till we meet again.

    ReplyDelete
  13. Jamani life has been cut at the peak,poleni sana.
    Ni mtoto wa Profesa Makene? au ?
    Namuonea sana huruma mkewe jamani sijui analiaje na mtoto mdogo

    ReplyDelete
  14. Maryam, baby Baraka and Makene family please accept my sincere sympathy on the passing of Felix. We have lost a very special person and he will be missed.
    R.I.P. Felix

    Judy Balyagati – Atlanta.

    ReplyDelete
  15. Poleni sana JAMANI WANA TEXAS... Hivi jamani ALLY MJUNGU...yupo msalimieni sana sana... au kama anaisoma hii Blog tuwasiliane kwa Email hii mpendakeroro@yahoo.com

    ReplyDelete
  16. Poleni sana wafiwa..Maryam Janguo na mtoto wako na familia yote pole sana

    ReplyDelete
  17. Du poleni sana ndugu zetu mungu hawape nguvu .may god rest his soul in peace .
    ukerewe

    ReplyDelete
  18. RIP Felix

    ReplyDelete
  19. FELIX JAMANI! LALA SALAMA KAKA.. WITH SO MUCH LOVE FROM ALL YOU LEFT BEHIND.

    R.I.P.

    ReplyDelete
  20. SAMAHANI KAKA MICHUZI MIMI NAPENDA KOMPENGEZA MAREHEU KWA KUTUTANGULIA. KWA SABABU KIFO NI UKOMBOZI WA MATESO YA DUNIA KWA HIYO NATAKA KUWATOA HOFU WADAU NAOMBA WAJIUNGE RASMI KWA GRADUATION YA MDAU HUYO. KATIKA IDARA YANGU YA SHULE YA MAWAZO AMBAYO ITAKUWA KWENYE MITAALA YA WAPPENDAHEKIMA WA KISASA KUMNA SOMO LINANALOITWA MDUARA WA NJE KATI YA MAISHA KABLA YA KUZALIWA NA MAISHA BAADA YA KIFO. MAANA YA KE UKITUMIA PIE CCHATI UTAONA MUDA MWINGI UNATUMIKA KABLA UJAZALIWA NA BAADA YA KIFO MUDA HUU NAMBA YAKE HUWA HAINA MWISHO (IFINITISMAL) KWAHIYO SEHEMU NDGO SANA YA PAI CHAT NDIO MUDA TULIOPEWA HAPA DUNIANI A KUISHI MUDA WOTE ULIOBAKI NUSU TUNAUTUMIA KABLA HATUJAZALIWA NA MWINGINE TUNAUTUMIA BAADA YA KIFO. HILI NDIO TATIZO LILILOWAKABILI MATAFA YALIYOENDELEA NDIO MAANA WAMEBUNI NGEGE YA GHOROFA WANAITA DREAM LINE ILI WAPATE MAKARATASI YANAYOITWA PESA KWA WINGI HALAFU WASAFIRI KWA HARAKA WASIJE WAKAFA.KWA HIYO AJALI IKITOKEA WANATUSAIDIA ONGEZEKO LA WINGI WETU. KWA KIUPI AFRICA HAKUNA HARAKA POLEPOLE NDIO MWENDO KWA HYO ATUFI HARAKA ILA SASA HIVI WAMETULETEA MAGONJWA AMBAYA WANAKWAMBIA WAKUPIME HALAFU WANAWAMBIA UNAO HALAFU UNAANZA KUSONONEKA UNAKUFA TARATIMU. KINACHOKUUA NI KUSONONEKA SIO UGONJWA. MWANA WA TAIFA PROF DR ING (AKA) TUMAINI GEOFREY TEMU BIN LIAMPAWE tgeofrey@gmail.com

    ReplyDelete
  21. jamani mimi naka kila saa naangalia picha siamini. mtu alikuwa mzima kabisa jamani jumatatu?? kwakweli kama ni Siri ya maisha yetu Mungu kweli katuficha you just never know.it happened so fast thats what makes it hard to believe that he is gone.We have be ready people we should always remember that our days in this earth are numbered. Nikimuwaza Baraka it kills me.Na Mariam masikini, na wadogo zake walivyomuuguza those 2-3 days.wadogo zake felix...its hard to look at them.He was such a nice guy jamani mtaratibu hana makuu na mtu, very nice.All the time marehemu na familia yake utawaona kwenye shughuli za watu . be it msiba,sherehe always involved.And today its our turn to HONOR him.MARYAM,BARAKA,and His Sibblings/Family should rest assure that FELIX is in the Lords good hands. REST IN PEACE kaka Felix. All i see is your smile

    ReplyDelete
  22. HUYU BWANA ALIOA KWA MZEE JANGUO,BINTI MARYAM POLE SANA
    POLENI SANA FAMILIA YA MAKENE NA FAMILIA YA JANGUO
    MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI
    AMENI

    ReplyDelete
  23. A brief candle; both ends burning
    An endless mile; a bus wheel turning
    A friend to share the lonesome times
    A handshake and a sip of wine
    So say it loud and let it ring
    We are all a part of everything
    The future, present and the past
    Fly on proud bird
    You're free at last.

    ReplyDelete
  24. http://groups.imeem.com/1E92l9Z0/music/0hq1EdDF/marquees_nasema_sina_ndugu_marquees/

    ReplyDelete
  25. RIP bro, too young to die. what a waste jamani. Poleni sana kwa familia, na kina dada Nuru Mazora Gondwe

    ReplyDelete
  26. Jamani hivi huyu Felix hakuwa JKT Ruvu kweli operation kambarage?

    Maryam janguo nakukumbuka tulijuana utotoni zamani sana.

    It come by surprise kuona picha zenu na mumeo kwenye Hi5.

    Pole sana ndugu yangu.. Ndiyo dunia

    ReplyDelete
  27. Poni sana Maryam na baby, sikujua kama Marehemu ni Mumea Maryam Janguo.

    ReplyDelete
  28. WAFIWA POLENI SANA.M'MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI.AMIN

    ReplyDelete
  29. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!!

    Our loving God will walk you through this difficult time! Mumtumaini Mungu ni mwingi wa rehema na upendo.

    Mungu awape nguvu wakati huu wa kuhangaika kumsafirisha marehemu na kwa uwezo wake mtamfikisha na kumlaza kwenye nyumba yake ya mwisho salama.
    Amina

    ReplyDelete
  30. poleni wafiwa wote Mwenyezi MUNGU awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Felix kapumzike kwa amani kaka.

    ReplyDelete
  31. JAMANI ALIYEFIWA NA MUME WAKE NI MARIAM JANGUO POLE SANA WAFIWA

    ReplyDelete
  32. sitaki kuanzisha mjadala usiokuwa na maana ila inauma kuachia hii comment ipite hivi hivi
    Friday, January 25, 2008 6:22:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Tumaini
    NAKUSHAURI SUBIRI BABA YAKO, MAMA YAKO, DADA AU KAKA YAKO AFARIKI HALAFU UTUMIE COMMENT YAKO KWA FAMILIA YAKO.
    naomba yaishie hapa, usinijibu na wengine wasiingilie

    ReplyDelete
  33. Pole again, mungu awafariji...samahani naomba kujua,,huyu NURU ni nani? mana hapo juu kuna mtu kamuambia kuwa kuwa mwangalifu unayoyafanya...haya chini tena kuna mpambe wake kasema pole kwa wote na dada Nuru..kulikoni? ,,,,kama ni hizo type of people ambazo zinaletaga shida na chokochoko kwenye maisha ya wenzao,(haswa tunapokuwa huku ugenini), basi nami nasema--Nuru angalia sana usilete utoto katika kipindi hiki kigumu kwa wenzio, MUOGOPE MUNGU.
    ni mimi,
    mdaku

    ReplyDelete
  34. Hallow Alfred, Mchuma, Arnold,Jovin. Poleni sana nilipata habari ya msiba from Ameir of Boston mapema asubuhi kwa saa za hapa TZ.Imenisikitisha sana `cause our brother Felix was too young.Imenipeleka mbali sana nikakumbuka those good day at Mburahati area tulipokuwa bado wadogo with a lot of dreams. Poleni sana.

    Alfred(Reddy)

    ReplyDelete
  35. Unaejiita TUMAINI get a life nimeona comment yako kwa mshindi wa dola 500,you disgust me,hii familia iko kwenye wakati mgumu we should try and be sensitive with our comments but your comments are revolting and sought of a weirdo to say the least.Kila mtu ana dini yake keep your beliefs to yourself you insensitive git.

    ReplyDelete
  36. More Confusion!
    I would like to comment on comment on some inflammatory remarks during this “Sorrowful moment” though it is undeniable that everyone has got his/her own belief.Tuwafariji wafiwa, muda wa malumbano ukifika, marehemu akipumzishwa ndiyo mwanze kulumbana.Mila na Desturi hazipotei, utamaduni wa kitanzania kifo ni kufarajiana!Sasa wengine washanza kuchonga kama wanaosha vinywa wakati wa muktadha mbalimbali.

    Kwa Familia ya Makene, mjane,watoto wafiwa,wazazi wa pande zote mbili, natoa rambirambi zangu kwenu,Kipindi ni kigumu sana kwa kila mtu,tujipe moyo hatuna la kuzuia Muumba ndiye muweza wa kila jambo.

    Mungu amrehemu Kijana.

    Dr.Confusion.

    ReplyDelete
  37. Poleni sana familia ya Felix Makene kwa msiba mkubwa. Huyu ni Felix aliyewahi kuishi Morogoro miaka ya zamani sana na baadaye Dar? Je alisoma Shabaan Robert au Mzizima sec O level?

    ReplyDelete
  38. eeeh jamani, poleni sana na msiba, Mariam na mtoto poleni ndio kazi yake Allah, haina makosa. This is the same Felix who used to leave in st.louis? poleni sana

    ReplyDelete
  39. Ndio Marehemu Felix alisoma MZIZIMA,alipitia Ruvu jkt,na pia aliwahi kuishiSt.Louis.Mungu Ibariki TZ. R.I.P mpendwa wetu.

    ReplyDelete
  40. poleni wafiwa na mwenyezi mungu aipumzishe roho ya kaka yetu mahali pema peponi.Wadau wa jangwani Texas ninaomba kupata mawasiliano na Grolia Mochiwa pamoja na Frola Mochiwa grolia ameolewa na nigga wikimaekani na daday ni msusi ninafikiri wako Hoston

    ReplyDelete
  41. Pole Maryam and u,r son Baraka nawatakia amani na moyo wa uvumilivu wafiwa familia ya Janguo,Felix.Tupo pamoja nanyi na sisi watanzania wa UK katika kipindi hichi kigumu ya majonzi tuzidishe upendo na umoja watanzania wote tuliokuwa nje,poleni Huston R.I.P bro Felix

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...