Mdau Fred Mwanri, anapenda kuwatakia Salaam za mwaka mpya wadau wote wa blog yetu kwa kuweka mtundiko huu wa kufungulia mwaka!!

Hivi karibuni alimtembelea rafiki yake anayeishi chumba kimoja ambaye anapenda saaana mpira wa miguu (ENGLISH PREMIER LEAGUE) hivyo ameweka Decoder (Kingámuzi) cha GTV na pili mke wake anapenda saana Filamu za (M-NET, MOVIE MAGIC) hivyo ameweka Decoder (Kingámuzi) cha DSTV
KWELI BONGO MAISHA TAMBARARE!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Kuna nyumba kila mtu ana redio yake, Mama anapenda taarabu, baba anapenda country, Mtoto mmoja anapenda bongo flava, mwingine reggae, mwingine r n b basi kaazi kweli kweli wakifungulia pamoja ila hawa wamezitawanya kila chumba

    ReplyDelete
  2. Tambarare huku anaishi kwenye chumba kimoja!
    We Michuzi vipi wewe?
    Yaani kanunua kabati la anasa, Tv za anasa na "VIKODA" viwili huku anaishi chumba kimoja!?! Khaa!
    Badala ya hiyo hela kwenda kupanga nyumba yenye vyumba viwili!?!
    Mweeh!

    ReplyDelete
  3. HII AI MAKE SENCE JE

    1. MMOJA ANAWEKA SAUTI MUTE?
    2. WANATUMIA HEADPHONES?
    3. THERE IS NO WAY WOTE WAKIWEKA SAUTI WATASIKILIZA PROGRAM ZAO
    4. INASIKITISHA INABIDI WAZIWEKE TV HIZO MBALIMBALI ILI WOTE WAENJOY

    ReplyDelete
  4. YAANI HUYO JAMAA NI MUWAZI MNO KAMA NI MWANAUME LAZAMA ATAO WAKE 2 KAMA NI MWANAMKE LAZIMA ATAKUWA NA SERENGETI BOY OUTSIDE.MAANA YEYE NI KUSHIKA MBILI TU MOJA AAAAAH!! HAWEZI

    ReplyDelete
  5. naona hujamaliza kumuintroduzi huyo rafikiyo. amesoma PCB NA ECA, NA anategemea kupata mapacha

    ReplyDelete
  6. Mbona kuna Home Theater Systems kibao ambazo zina-support muziki tofauti kwa vyumba tofauti. Sio lazima ununue radio/stereo system zaidi ya moja. Unanunua hiyo Home Theater System moja tu kama vile Denon, Bose, Sony, Yamaha au Harman Kardon na unai-program ipike miziki tofauti kwa vyumba tofauti.

    ReplyDelete
  7. Ufisadi huanza pooolepole...

    ReplyDelete
  8. Duh,
    kweli tambarare ni mitiivi ambayo hata sio digital. Kwikwikwikwikwikwikwi.

    ReplyDelete
  9. Tanzania tunaliwa tu hizo service zote zinapatikana mahali pamoja huku....Ukitaka ni receiver moja tu na mamo yote ni kujichagulia kwenye remote control....
    haya mambo ya kuwacharge watu mara mbili mbii so mazuri....DSTV na GTV

    ReplyDelete
  10. Nimepata mchongo wadau vipi niutokee au soo........
    FROM THE DESK OF DR.RAMADAN ABDU
    BILL AND EXCHANGE MANAGER,
    AFRICAN DEVELOPMENT BANK
    OUAGADOUGOU, BURKINA FASO.
    TEL:00226-78-81-04-32

    Dear Friend,

    I know that this letter may come to you as a surprise but due to the urgency of this transaction.
    First I must solicit your confidence in this transaction, this is by virtue of it's nature as being utterly confidential and top secret. Though I know that a transaction of this magnitude will make any one apprehensive and worried, but I am assuring you that all will be well at the end of the day. There is no doubt that trust conceptually is a conundrum which leads itself to deferring interpretation, we have decided to contact you due to the urgency of this transaction.

    I am the manager of bill and exchange at the foreign remittance department of African Development bank (ADB). I came to know you in my private search for a reliable and reputable person to handle this Confidential Transaction, which involves the transfer of a huge sum of money to a foreign account requiring maximum confidence.

    I am writing to you, following the impressive information received about you from the chambers of commerce. I believed that you are capable and reliable to champion this business opportunity. In my department we discovered an abandoned sum of $30m US dollars (Thirty million US dollars). In an account that belongs to one of our foreign customer who died along with his entire family On Monday, 31 July, 2000, 13:22 GMT 14:22 UK, 2000 through concorde air lane with flight N AF4590 crashed off, killing all 109 people on board and you can view the site for more details:
    news.bbc.co.uk/1/hi/world/europe/859479.stm

    Since we got information about his death, we have been expecting his next of kin to come over and claim his money because we cannot release it unless somebody applies for it as next of kin or relation to the deceased as indicated in our banking guidelines but unfortunately we learnt that all his supposed next of kin or relation died alongside with him at the plane crash leaving nobody behind for the claim. It is therefore upon this discovery that I and other officials in my department now decided to make this business proposal to you and release the money to you as the next of kin or relation to the deceased for safety and subsequent disbursement since nobody is coming for it and we don't want this money to go into the Bank treasury as unclaimed Bill.

    The Banking law and guideline here stipulates that if such money remained unclaimed after ten years, the money will be transferred into the Bank treasury as unclaimed fund. The request of foreigner as next of kin in this business is occasioned by the fact that the customer was a foreigner and a Burkinabe cannot stand as next of kin to a foreigner.
    We agree that 30% of this money will be for you as foreign partner, in respect to the provision of a foreign account, 10 % will be set aside for expenses incurred during the business and 60 % would be for me and my colleagues. There after I and my colleagues will visit your country for disbursement according to the percentages indicated.

    Therefore to enable the immediate transfer of this fund to you as arranged, you must apply first to the bank as relations or next of kin of the deceased indicating your bank name, your bank account number, your private telephone and fax number for easy and effective communication and location where in the money will be remitted.

    Upon receipt of your reply, I will send to you by fax or email the text of the application. I will not fail to bring to your notice that this transaction is hitch free and that you should not entertain any atom of fear as all required arrangements have been made for the transfer.

    You should contact me immediately as soon as you receive this letter.

    Trusting to hear from you immediately.

    Yours faithfully,
    Dr. Ramadan Abdu,
    Bill and exchange manager,
    African Development bank ADB

    ReplyDelete
  11. Mdau ulieuliza kuwa wanasikilizaje kama wote wata washa kwa wakati mmoja.
    jibu ni rahisi, kwa mazingira nayo yaona hapo ni kwamba, lazima wako uswahilini, halafu mkewe lazima ni mama wa nyumbani, na Inglishi haipandi, haswa ukizingatia anaangalia EMNETI , haswa ile channel ya movies za Kinigeria
    Kwa hiyo mama huwa ana punguza sauti ,sababu huwa hana nachokosa hata aweke Mute, maana huwa anaa enjoy zaidi kuangalia picha, haswa magauni na vilemba vya kinigeria na haswa ana guswa zaidi na uchawi wa kinigeria maana unamkumbusha jinsi anavyo kwenda kwa mganga kumroga mumewe kiasi cha kuweza kumsikiliza na kumnunulia TZ ya pili.

    ReplyDelete
  12. Anon wa 17th 12.00 Am, umenifanya nicheke kweli yaani mpaka kesho ntaamkia hospitali kwa kuumwa mbavu. Heeeeheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
    Yaani maisha kweli ni kichekesho. Sasa hapo kuna starehe gani au kutaka kuwakoga majirani, ndugu na marafiki kwiiiikwiii kwiii. Kwa sababu wangeweza kuweka hizo TV zao vyumba tofauti na wakafaidi vizuri hizo pesa zao, lakini hapo naona kama ni show off tu. Ni yale ya watani wangu wa kutoka huko nimemununulia mama Koki na yeye king'amuzi chake maana alikuwa ananisumbua siwezi kuangalia my program vizuri, huku ameshika moble phones 4 mkononi!! Khaaa haah aahhhaaaaaaaaaaa!!Kweli Ubongo tambarare!!!!!

    ReplyDelete
  13. Maskini bwana utawajua tu.. Wanajijazia outdated services kwa kutumia inferior technologies.. Wekeza kwenye mambo ya maana.

    ReplyDelete
  14. Wee Anony wa 2:52:00 AM Eti Maskini bwana utawajua tu.. Wanajijazia outdated services kwa kutumia inferior technologies.. haya ni mambo ya Bongo kwa taarifa yako Chumba changu kimoja naangusha bonge la mdudeee Mbezi Beach nikihamia huko kila chumba nitaweka TV mbili mbili... Nyegera waitu...

    ReplyDelete
  15. BRO.Jiandae muda sio mrefu nawewe utanunuliwa MOP yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...