sekunde, dakika, saa, siku zinayoyoma na mdau wa milioni 3 atayepata zawadi ya dola 500 anazidi kunukia. hesabu kama hii iliyo chini kabisa kulia mwa globu hii ya jamii inaashiria hivyo muda huu leo. ukitaka kujua data za watembeleaji wa globu bofya katufe ka bluu kama hako hapo shoto mara mbili utazipata zote
sekunde, dakika, saa, siku zinayoyoma na mdau wa milioni 3 atayepata zawadi ya dola 500 anazidi kunukia. hesabu kama hii iliyo chini kabisa kulia mwa globu hii ya jamii inaashiria hivyo muda huu leo. ukitaka kujua data za watembeleaji wa globu bofya katufe ka bluu kama hako hapo shoto mara mbili utazipata zote

HIYO YA KWANGU
ReplyDeletendugu michuzi mbona unatutia mcheche. yaani kila nikifungua blog nikaona umebandika kipicha kuonyesha idadi ya watu waliotembelea, moyo unaniruka nikidhani kuwa kuna mtu tayari ameishanyakua zawadi.
ReplyDeletesichezi mbali zamu hii!
Hiyo ishajulikana tu...Ila J2 leo, tunasubiri mshindi wa utabiri wa Ars. na Man kama ulivyoahidi.
ReplyDeleteI feel sorry again kwa walalamikaji kwa mahesabu yangu ya harakaharaka huyu mtu akigonga ya tatu wabongo watakua wanakoroma. Au kama vipi basi poa kesho Holyday USA mtawakoma lazima kieleweke box pembeni kesho $500 haachiwi mmbongo hapa. Tetetetetttteeeehhhhh
ReplyDeleteije kwa ras huku!
ReplyDeleteunajuaje kuwa nani emekuwa milioni 3, unatumia Ip address tracking program ? or you just dicide out the blue
ReplyDeleteMimi ndio mdau wa milion 3 isimikinyi@yahoo.com Ohio
ReplyDeleteKwa calculation zilizofanywa kwa kuangalia rates za watembeleaji wa blog, mdau wa million 3 atapatikana jumatano mchana ya tarehe 23 JANUARY. NItakuwa pale muda huo ingawaje ni vigumu sana kwa kuwa Mchuzi hauko consistent. Mara uko zednj, mara shambani mara huna network, ili mradi hovyo hovyo style! Kama ungekuwa uko connected kuanzia leo Jumatatu, yaani hii ndo ingekuwa fairest play in Tanzania.
ReplyDeletevalentineannosy@yahoo.com Kaka kutokana na calculations unazozifanya za muda huyo mshindi wa millon 3 atapatikana siku ya jumatano au Alhamisi lakini ni vigumu muno kujua kama mtu kashinda,maana hata ukituma email inachelewa kuwa delived sijui Bro unatumia system gani?
ReplyDelete