mchezaji wa timu ya jeshi twalipo (mwenye mpira) atakumbukwa daima kama nyota wa mpira wa mikono ambaye hadi sasa hajapata kutokea wa mfano wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michu
    Huyu bwana alikuwa kajengeka, na alikuwa mrefu kwa maana ya urefu haswaa... si mchezo!!! Nilibahatika kuwa karibu naye enzi hizo za sekondari kule unyanyembe (dRU)

    ReplyDelete
  2. Brother Twalipo siyo? Alikuwa kakangu kipenzi, japo ulikuwa ni urafiki tu. Muungwana kweli kweli. Tulikuwa tunashinda naye Temeke, maeneo ya Kitomondo.

    Alikuwa mwanamichezo hodari lakini pia binadamu hasa.

    Mkewe na mtoto walikuwa wanaishi magorofa ya Jeshi Changombe karibu na JKT Mgulani nilivyowaona mara ya mwisho, sijui kama bado wapo, ningependa kuwaona tena.

    Mungu ampumzishe mahali pema mkuu Twalipo.

    ReplyDelete
  3. Bwawa vipi?! naona hatulioni siku hizi au limekauka?

    ReplyDelete
  4. Bwawa limekuwa dimbwi.NA EL NINO AMEKUWA NANINIO.

    ReplyDelete
  5. Michuzi kuna wachezaji wengi sana wazuri wa kikapu wa enzi hizo walichezea jeshi kama wakina Gibson Urassa yuko kigamboni karibia na NAVY..mtafute uweke picha yake....yeye ni jamaa alikuwa mrefu sanaa na aliletea sana sifa jeshi enzi hizoo..asante kwa kutuwekkea picha za zamani na kuwaenzi watu hao...mdau Norway

    ReplyDelete
  6. MICHUZI UMENIKUMBUSHA MBALI SANA.. TWALIPO WAS GREAT, ALIKUWA MCHEZAJI MAHILI WA HANDBALL ANA TRICKS KALI SANA! KUMBE ALISHAFARIKI? MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA. NAWAKUMBUKA WENGINE WAKALI ALIOKUWA NAO TIMU YA NGOME KAMA AKINA DAVID KYAMA, TRESEUS NDYAMUKAMA, DAVID JUMA NA WENGINEO . WAKENYA NA WAGANDA WALIKUWA HAWAKATISHI HAPO!! SIKU HIZI TUNAFUNGWA HOVYOHOVYO TUU. NAOMBA MICHUZI CHONDE TUWEKEE PICHA ZA TEAM YA TAIFA YA HANDBALL ENZI HIZO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...