dah! hii vekesheni sasa itanishinda. kila siku janta...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tunaomba ile T-shirt yako tuipige mnada!!!!

    ReplyDelete
  2. hivi wewe upo vacation au upo kazini?Nijuavyo mimi mtu akiwa vacation hafanyi kazi wala nini,sasa wewe mmmmh

    ReplyDelete
  3. Ni kweli yupo vacation. Uki unasafiri na kufanya kazi unayoipenda na kulipwa hiyo ni vacation babu kubwa kwangi..Just imagine ninavyopenda kupiga picha ...halafu niwe nalipwa kwend ajuko kuchukua picha......Tanua kaka tanua tu....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...