mambo vp bro michuzi. Wadau kutoka chuo kikuuu tumaini iringa tunawasalimu wapenzi wote wa blogu hii na kuwatakia mwaka mpya wenye mafanikio tele.hapo wadau tukiwa tunatalii huko zanzibar katika sehemu ya kumbukumbu ya mahali watumwa walikuwa wakihifadhiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Duu! kweli bongo choka mbaya, hebu waangalie jamaa, utadhani watumwa kweli, hasa huyo wa mbele.Mnaonekana mna njaa kweli!!!

    ReplyDelete
  2. Mhh, sawa sawa na CHibatari bin Chibiriti! Hali ni mbaya kwa kweli. Mngeenda kupiga picha angalu hapo Forodhani au Maisara. Hapo wamewachosha mno mpaka mnatia huruma!

    ReplyDelete
  3. Wee anony wa kwanza kabisa hapo juu acha matusi. Usijione umefika hata kama unakaa mamtoni na kula burger za McDonald akili yako bado matope tu.

    ReplyDelete
  4. THAT IS GOOD NEWS WAKATI UKIRITIMBA WA EIMU YA JUU UIVYOKUWA UNATAWALIA NA CHO KIMOJA KUNA WASOMI MAPEPO WALIPINGA SANA KUANZIZWA KWA VYUO VINGINE KA MAWAZO UJINGA WAO KWAMBA HAYATAWEZA KUKIDHI MAHITAJI YA KITAALUMA BADALA YA KUJADILI JINSI YA KUKUZA TAALUMA ZA VYUO VYA UMA NA BIMAFSI KWA UJUMLA. SASA HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA KUNA WATU WANAFIKIRI BABO EIMU INAPATIKANA KWENYE MAJENGO VYUO YALIYOZOEEKA AU KOSOMA CHUO FULANI NDIO NGUZO YA KUPATA AJIRA. KUNA HICHI KIPENGEE CHA JITIHADA BINAFSI MDAU JICHANGANYE ANDIKA HATA VIPEPA UCHWARA UTASHANGAA VINAKUTOA. OPPORTUNITY ZIKO NYINGI DUNIANI KULA AMINI NA GOOGLE.COM UTAFANIAKIW KWA USHAURI BINAFSI TAFADHAI NITUMIE MASWAI YAKO AT tgeofrey@yahoo.com

    wenu TUMAINI GEOFREY

    ReplyDelete
  5. Mnapotalii uoneshe sura za kutalii .kutalii ni kupunguza mawazo nasi kuongeza mawazo .sasa mnaonekana kama mnakumbuka shida zenu za unyalukoloni maana mmenuna kama mlilazimishwa kuja.......

    ReplyDelete
  6. Huuu ni UVIVU wa KUFIKIRI. Kila mwanadamu anaye FIKIRI ana angalia hadhira anayotaka kuifikishia ujumbe. Hawa wanategemea wadau wa blogu hii waseme nini zaidi ya kuwatukana? Omba umasikini wa kitu kingine chochote, siyo wa KUFIKIRI. Utakuwa mtumwa!

    ReplyDelete
  7. Nyie vijana mkitoka hapo muipeleke hiyo picha na hayo maelezo kwenye yale magazeti ya nanihii. Mnachotaka mtakipata huko zaidi.

    ReplyDelete
  8. UTALII NAONA TUWAACHIE WAZUNGU KAMA MAMBO YENYEWE NDIO HIVI, HAMUONEKANI KUFURAHIA KUWA HAPO, SIJUI MLIKUA HAMJALA?AU MPIGA PICHA ALIKUA KAWASHIKIA BASTOLA?

    ReplyDelete
  9. we anon wa kwanza acha kulopoka unataka aje mtu wa namna gani ndio umkubali, kama si wivu ni nini? kaja jitu mzee wa kibo hapa chonga saaaana kaja goliati lopoka sana washirika hapo juu unabonga mbovu iweje sasa?

    anon wa jan 28 12:44, huo ugojwa unaweza tukauona kwako pia bila wewe mwenyewe kujua kua unao pale unapoonyesha kuwa mawazo yako, hapo kutalii ni kwa wazungu tuuuuu au watu wenye haiba fulani. labda wangetumia lugha ya kutembelea zenjy sio kutalii zenjy ungekubali?
    unapoenda mji mwengine ukiwa unatoka kwenu mapwapwa makorokoroni ndani huko ukatamani kwenda kuwaona wengine ambapo hujawahi fika ni kutalii pia sio lazima ulale hoteli za watalii au uwe mzungu.

    mimi nahisi hawakutosheka kusikia tuu Zanzibar, zanzibar, wataliii wanamiminika huko toka ughaibuni pande zote za dunia, wao wako pua na mdomo na wanatumia kwa Tshs washindwe! walitaka wakajionee wenyewe kwa macho yao.

    Vivaa wadau ujumbe umefika kwa wanafunzi wengine baada ya vurugu za vitabu mnaenda ku-neutralize tension. hapo mnanikumbusha miaka ya 80. Kama sikosei hapo ni sehemu ya kanisa wanasali wa anglican.

    ReplyDelete
  10. anon jan 27,7:53. Forodhani panafanyiwa ukarabati kwa kipindi cha miezi kumi ili kuweka yale mazingira yenu ya udhungu mnaoutaka ili msije harisha mkija kula seafood hapo mtakapoenda kutalii na hizo pesa zenu, sijui mtanunua kwa dollars au tshs. kama mlivyosema mazingira machafu, kelele zenu aghakan kazisikia amefadhili kupaboresha, bi Fatma Karume amefungua shughuli hiyo ya ukarabati wiki mbili zimepita sasa.

    aah! asa-kheri tena. sijui ukifunguliwa wale wenzangu na mimi tutaingia bure, au kwa kuchangia. maana ghafla tunaweza kulipishwa kodi ya kiingilio, eti pamependeza tuchangie ujenzi wakati ni sadaq au tena ikawa wahindi kipaumbele kisa kakayao kakarabati. wee haya weeee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...