Home
Unlabelled
wadau wa tumaini watalii zenj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duu! kweli bongo choka mbaya, hebu waangalie jamaa, utadhani watumwa kweli, hasa huyo wa mbele.Mnaonekana mna njaa kweli!!!
ReplyDeleteMhh, sawa sawa na CHibatari bin Chibiriti! Hali ni mbaya kwa kweli. Mngeenda kupiga picha angalu hapo Forodhani au Maisara. Hapo wamewachosha mno mpaka mnatia huruma!
ReplyDeleteWee anony wa kwanza kabisa hapo juu acha matusi. Usijione umefika hata kama unakaa mamtoni na kula burger za McDonald akili yako bado matope tu.
ReplyDeleteTHAT IS GOOD NEWS WAKATI UKIRITIMBA WA EIMU YA JUU UIVYOKUWA UNATAWALIA NA CHO KIMOJA KUNA WASOMI MAPEPO WALIPINGA SANA KUANZIZWA KWA VYUO VINGINE KA MAWAZO UJINGA WAO KWAMBA HAYATAWEZA KUKIDHI MAHITAJI YA KITAALUMA BADALA YA KUJADILI JINSI YA KUKUZA TAALUMA ZA VYUO VYA UMA NA BIMAFSI KWA UJUMLA. SASA HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA KUNA WATU WANAFIKIRI BABO EIMU INAPATIKANA KWENYE MAJENGO VYUO YALIYOZOEEKA AU KOSOMA CHUO FULANI NDIO NGUZO YA KUPATA AJIRA. KUNA HICHI KIPENGEE CHA JITIHADA BINAFSI MDAU JICHANGANYE ANDIKA HATA VIPEPA UCHWARA UTASHANGAA VINAKUTOA. OPPORTUNITY ZIKO NYINGI DUNIANI KULA AMINI NA GOOGLE.COM UTAFANIAKIW KWA USHAURI BINAFSI TAFADHAI NITUMIE MASWAI YAKO AT tgeofrey@yahoo.com
ReplyDeletewenu TUMAINI GEOFREY
Mnapotalii uoneshe sura za kutalii .kutalii ni kupunguza mawazo nasi kuongeza mawazo .sasa mnaonekana kama mnakumbuka shida zenu za unyalukoloni maana mmenuna kama mlilazimishwa kuja.......
ReplyDeleteHuuu ni UVIVU wa KUFIKIRI. Kila mwanadamu anaye FIKIRI ana angalia hadhira anayotaka kuifikishia ujumbe. Hawa wanategemea wadau wa blogu hii waseme nini zaidi ya kuwatukana? Omba umasikini wa kitu kingine chochote, siyo wa KUFIKIRI. Utakuwa mtumwa!
ReplyDeleteNyie vijana mkitoka hapo muipeleke hiyo picha na hayo maelezo kwenye yale magazeti ya nanihii. Mnachotaka mtakipata huko zaidi.
ReplyDeleteUTALII NAONA TUWAACHIE WAZUNGU KAMA MAMBO YENYEWE NDIO HIVI, HAMUONEKANI KUFURAHIA KUWA HAPO, SIJUI MLIKUA HAMJALA?AU MPIGA PICHA ALIKUA KAWASHIKIA BASTOLA?
ReplyDeletewe anon wa kwanza acha kulopoka unataka aje mtu wa namna gani ndio umkubali, kama si wivu ni nini? kaja jitu mzee wa kibo hapa chonga saaaana kaja goliati lopoka sana washirika hapo juu unabonga mbovu iweje sasa?
ReplyDeleteanon wa jan 28 12:44, huo ugojwa unaweza tukauona kwako pia bila wewe mwenyewe kujua kua unao pale unapoonyesha kuwa mawazo yako, hapo kutalii ni kwa wazungu tuuuuu au watu wenye haiba fulani. labda wangetumia lugha ya kutembelea zenjy sio kutalii zenjy ungekubali?
unapoenda mji mwengine ukiwa unatoka kwenu mapwapwa makorokoroni ndani huko ukatamani kwenda kuwaona wengine ambapo hujawahi fika ni kutalii pia sio lazima ulale hoteli za watalii au uwe mzungu.
mimi nahisi hawakutosheka kusikia tuu Zanzibar, zanzibar, wataliii wanamiminika huko toka ughaibuni pande zote za dunia, wao wako pua na mdomo na wanatumia kwa Tshs washindwe! walitaka wakajionee wenyewe kwa macho yao.
Vivaa wadau ujumbe umefika kwa wanafunzi wengine baada ya vurugu za vitabu mnaenda ku-neutralize tension. hapo mnanikumbusha miaka ya 80. Kama sikosei hapo ni sehemu ya kanisa wanasali wa anglican.
anon jan 27,7:53. Forodhani panafanyiwa ukarabati kwa kipindi cha miezi kumi ili kuweka yale mazingira yenu ya udhungu mnaoutaka ili msije harisha mkija kula seafood hapo mtakapoenda kutalii na hizo pesa zenu, sijui mtanunua kwa dollars au tshs. kama mlivyosema mazingira machafu, kelele zenu aghakan kazisikia amefadhili kupaboresha, bi Fatma Karume amefungua shughuli hiyo ya ukarabati wiki mbili zimepita sasa.
ReplyDeleteaah! asa-kheri tena. sijui ukifunguliwa wale wenzangu na mimi tutaingia bure, au kwa kuchangia. maana ghafla tunaweza kulipishwa kodi ya kiingilio, eti pamependeza tuchangie ujenzi wakati ni sadaq au tena ikawa wahindi kipaumbele kisa kakayao kakarabati. wee haya weeee.