wachezaji wa yanga enzi hizo yanga ni yanga kweli wakila tizi uwanja wa kaunda. wadau mnaowakumbuka hawa tunaomba majina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. wa kwanza kushoto ni Adorf rishad na wa kulia ni shabani katwila wangine siwajui

    ReplyDelete
  2. hawana majina majina yao magumu sana si unajua hii ni timu ya washamba na wauza sokoni sasa si rahisi kuwa na majina mazuri nikikutajia jina la huyu wa mbele utasema nakutukana hivyo nalihifadhi jina lake,ndugu yangu timu ya yanga historia yake haijifichi hata kidogo ni timu ya washamba ndiyo maana kila inapokutana na SIMBA huwa wanfungwa tu kifupi hawana majina ya maana na picha yenyewe ondoa kwani inatisha angalia jinsi walivyochoka wachezaji wenyewe paja kama mkono wa drogba sasa wanaweza kucheza mpira kweli hao acha utani michuzi ondoa picha ya wachovu au unaogopa kwa vile ni timu ya jk?

    ReplyDelete
  3. mbona wamechoka sana manji alikuwa wapi wakati huo?ondoa picha hii inaboa kwani hawa ni wachezaji wa timu gani hii timu bado ipo na kiongozi wake ni nani? au ndio wale wanaofungwa fungwa na SIMBA? wanavaa jezi za njano na kijani wanafuga mbu pale jangwani kama ni hao basi majina yao ni vigumu kuyataja kwani hayaeleweki wachezaji wao wengi wanatoka bush country nadhani huyo wa kwanza ni baba yake mwaikimba

    ReplyDelete
  4. Namuona EMMANUEL TENENDE...sio Katwila huyo eboooo

    ReplyDelete
  5. KWA KWELI WAKATI HUO LUNINGA ILIKUWA ANASA, SANA SANA TULIKUWA TUMASIKILIZA MAJINA YAO KWA REDIO WENYE BAHATI YA KUONA PICHA KWENYE VIGAZETI NADRA WAKATI HUO TUPENI MSAADA KWENYE TUTA HILI, AU WALE WA DARISALAMA

    ReplyDelete
  6. Ezekiel Greyson, Mwinda Ramadhani,Omar Kapera, Adolf Rishard, ..... naomba watoto wa mjini(Darisalama) wenzangu mmalizie majina. Maana wengine hata redio za 277 zilikuwa hazisikiki kwao.
    Mdau
    Mtoto wa Mji Mkubwa
    London

    ReplyDelete
  7. Hii picha ya mwaka gani? Mbona simjui hata mmoja? Kama ni ya kabla ya 86 nilikuwa sijazaliwa.

    ReplyDelete
  8. Wa kwanza kushoto ni Yanga Fadhili Bwanga,anaemfuatia ni Mwinda Ramadhani"Maajabu", Halafu Shaaban Katwila na hao wengine siwajui.

    ReplyDelete
  9. Hixi Michuzi kabla ya kuundwa kw aPan ulikuwa mshabiki watimu gani???Wacha denial kiri wewe Yanga au uteja wa muda mrefu kwa Simba umekufukuza.Mbona kidimbwi cha utumbo bado upo tu.

    ReplyDelete
  10. hii picha ni 1976, wa kwanza kulia ni yanga bwanga alipojiunga na yanga,kushoto kwake ni mwinda ramadhani, nyuma kulia ni shaaban katwila. yanga bwanga alikuwa mchezaji mzuri sana, nakumbuka mtangazaji abdul omar masud alianza kipindi cha michezo yetu kwa kusema"lisemwalo lipo kama halipo lipo njiani, yanga ajiunga na yanga" yanga bwanga baadae alienga dubai kucheza kandanda la kulipwa, yeye na aluu ali walikuwa maarufu sana huko arabuni. wachezaji wote walioenda huko walipewa uraia huko uarabuni.wale waliopata namba huko, m.tall,martin kikwa,aloo mwitu hawakufanya vizuri huko.ndiyo maana wakarudi kucheza mpira wa bure.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 24, 2010

    Hao waliotoa comment ya kusema kwamba eti walikuwa wamechoka, wote hamna akili...hebu nendeni mkaangalie picha za wazazi wenu na muone kama walikuwa sio de same...hamna adabu kweli...hao ndio walioiongoza team zenu ambazo mnajivunia nazo saizi, halafu mnawakanifu saizi..nyw from de pic, i know mwinda ramadhani maajabu, shaaban katwila...De rest of them, siwajui..Bt some of people they should go bk to their mum's, na mfundishwe adabu tena...msiwadharau watu ambao waliwapatia moyo, mpaka saizi kuna simba na yanga nchini kwenu...Shikeni adabu zenu kabisa....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...