wapenzi wa vibao vya enzi hizo bofyeni hapo chini mburudike http://www.jambonetwork.com/jn/zilipendwa/
Home
Unlabelled
zilipendwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Thanks, starehe unayotupa siyo ya kawaida.
ReplyDeleteShukrani kwa link hiyo.
ReplyDeleteInaliwaza na kumbukumbu kibao.
Miziki hii hutukumbusha mambo mengi.
ReplyDeleteAsante Jambonet, Asante Michuzi.
Sijapata kuburudika kama hivi na vibao ulivyotupa vimenikumbusha safari yangu yote tokea shule ya msingi,secondari,chuoni,kazini, hadi nyumbani niwapo jikoni nikipika nilikuwa ni lazima niweke kipindi cha salamu au chaguo la mziki uupendao na lala salama.Nimeweza kuwakumbuka marafiki zangu wote waliokuwa wanaupenda mwimbo fulani.Abisina imenikumbusha mbali sana enzi hizo niko secondari.Asante sana kaka dumu ktk kutukumbusha miziki ya zamani.
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteKusema kweli ni furaha iliyoje kupata vitu kama hivi. Inaburudisha kweli na kutukumbusha mbali. Hongera sana.