
tafsiri: Juu ya 8th ya februari 2008, nanihii asia idarous mama ndani ya nyekundu, ally rhemtullah (sawa) alinanihino nanihii kwa mwaka 2007/08 ndani ya tanzania... wadau nimepatia sijapatia???
yaani huyu ally rhemtullah ndiye bingwa wa ubunifu wa mitindo anayetambulika kwa sasa nchini na hakuna mwingine wa kumfikia.
Michuzi hi,
ReplyDeleteVp huyo ndio mume mpya wa Asia Idarous?? ebu tufahamishe maana hatumfahamu
alinanihii kwenye nanihino weweeeee
ReplyDeletealinanihii kwenye nanihino weweeeee
ReplyDeleteumepatia sana mshkaji
Kaka michuzi kumrazi,lakini hapo dada hilo gauni jekundu basi tu,halijakaa tambarare hivi nadahni sijui nimeipatia au vipi.Kajitahidi lakini.
ReplyDeleteMMMMMMMMMMMMMMMMMMHHHHHHHHHHHHHHHH MICHUZI KWELI HIYO
ReplyDeleteKwani wametumia vigezo gani kumpa? Tujue vigezo ili tuwe kwenye position ya kutoa critical analysis.
ReplyDeleteHuyu ameshinda tuzo gani ya mwanamitindo bora? Je yule ponjoro mwingine, Mustapha Hassanali yeye ameshinda tuzo gani? Walishindanishwa wapi hawa? Mbona wanamitindo wa mitindo ya asili hawakushirikishwa?
ReplyDeleteEbu tupe maelezo zaidi ndugu Michu.
Mashindano or no mashindano, that guy has got talent. Kimsingi, based on media reports na watu walivyopokea kazi zake, AR na kazi zake za ubunifu amependeka haraka sana katika kipindi kifupi kuliko waliomtangulia pamoja na kusota na vitambaa kwa muda mjini hapa, no offence guys.
ReplyDeleteWengine wana miaka kwenye fani, lakini hawajawahi kutikisa Daslamu mjini kama alivyofanya AR. Ni kitu cha kujivunia kwake. A word of advise though...
Asiangalie u-sexy na u-nusu uchi kwa saaana. Nguo nzuri si lazima mpaka mabinti warembo wamwage lazi kwenye runaway ndio zionekane. Pia ajaribu kuwa an authentic Tanzanian designer. Aweke vionjo vya kiBongo zaidi. You know, a bit of sari taste (udosi flani kwa mbali) na mitindo ya kijadi/kitamaduni ya Kibongo kwenye fusion zake.
Big up AR.
By the way, Happy Chilima where u at? Mbona kimya, au upo mbele nini?
Wote karibuni www.upeowamtaa.blogspot.com (naazima kijani kutoka mti wako Braza Michuzi, hope you dont mind kwa saaana!)
Uncle naona vitu vyako(mwenyewe..mwenyewe)u know who it is !!Babkubwa....Y'all look great..Anyway holla at me when u come back..Uncle hapa Motor city.
ReplyDeleteKwanza wenyewe mmeishazema tuzo inaitwa "Asia Idarous's Lady in Red" Sasa what does he represent? Asia? Kwanini asiseme African Idarous's Lady in Red" Au washaanza kuteletea nguo zao hao jamaa. Kuna nguo za asili ni ajabu kama zikitengenezwa katika kiawango cha kisasa na tutakuwa hatuna haja ya kuvalishwa saree(magauni ya kihindi). Subirini muone narudi bongo na idea za ajabu. mi na wao. Yangu itaitwa African Idarous's Lady in Red" Sio mambo ya Hasanali na pilipili zake.
ReplyDeleteHuku India pilipili zinawekwa kila mahali, kwenye gari wakuta zimeningingia, kwenye mlango wa nyumba, temple, hata mwendesha baskeli kaweka. Hizi zinamaanisha kitu fulani kidini hapa kwao. Sasa wabongo mmezipokeaje pilipili. What do they mean to you mnapoletewa kila sku INDIAN SHOWS? Au ndoooo.....
Aise, kumbe kweli kaka michuzi, mimi nilikuwa nasikia watu wakisema kwamba eti wewe ulisoma na Nyerere kule Makerere darasa moja nilidhani wanatani, leo ndio nimedhibitisha kumbe kweli, maana jinsi ulivyotafsiri hicho kimombo hujakosea hata sentensi moja, halafu kiingereza chenyewe KIGUMU.
ReplyDeleteKama sijakose Asia ndio jina la huyo Dada anaitwa Asia na Idarus ni Surname yake...sijui imeeleweka? sasa kaka Michu hao wengine ni akina nani?
ReplyDeleteWewe anon wa Thursday, February 14, 2008 7:13:00 PM EAT
ReplyDeleteHebu tuondolee upumbavu wako hapa yaani unaongea pumba bila ya kujua huku unajiona mwenyewe unatoa bonge la point.Wabongo wengine bwana ndio maana nchi inazidi kumalizwa na MAFISADI maana wananchi wenyewe wengi wao akili zao hazina akili kama huyo anon wa juu.
Muandaaji wa maonyesho hayo ya Mavazi anaitwa Asia Idarous na sio kama unavyodhania wewe kichwamaji kuwa hayo mashindano ni kwa ajili ya bara la Asia. Muangalie vile domo ka bakuli la uji teh teh teh teh.
Nikijisikia kuumwa sononi au niko down basi huenda hospitali haraka na hospitali yenyewe inaitwa Michuzi blogu, ina madaktari wengi kuliko wagonjwa.
ReplyDeleteYaani leo nimecheka mpaka basi, ooh Mungu wangu yaani mpaka jina la mtu limegeuzwa bara la Asia, kazi ipo. Haya Asia Idarous, Africa Idarous, na mwingine naye atakuja na America Idarous. Sasa sijui hiyo Idarous wao walifikiri kitu gani au aina ya mitindo au fasheni au mashindano, kumbe jamani hilo ni jina la mtu mwee! Lakini kosa la Mganga Mkuu Michuzi alivyokuja na tafsiri yake iliyotukuka na kweli atakuwa amesoma Makerere University huyu na ndio maana wakamuona anafaa kupewa binti yao veri ginias.
Yaani huyo anon wa Thursday,February 14,2008 7:13:00 PM EAT amenichekesha mpaka tumbo limeniuma na nimeamini kweli watu wengine hujifanya wanajua sana wakichangia humu, kumbe vichwa maji tu, sasa kama hiyo Asia wewe umeifahamu kama ni bara la ASIA, jee hebu twambie na hiyo Idarous umeifaham vipi!? naona umeirejea tena kwenye hiyo "Africa Idarous" yako...hahahaha! mshkaji fanya research kabla ya kuamua kuchangia...umechemka vibaya mtu wangu....hahahaha!
ReplyDeleteKaka michuzi mimi kwa ushabiki nataka nione hizo fasheni za bongo maana sijaona bado.Kila mbunifu anabuni vituko vitupu ka wakenya bwana.Mimi sijaona bado,tupe raha kaka tulumbane hapa.Mitindo sijaona bado,yote ni vijinguo vya kuiga uhindini na uzunguni
ReplyDeleteAnon wa 7:13,Feb 14,yaani umenitia aibu kama upo mbele ya uso wangu,mwanzo nilifikiri utani kumbe uko serious.Kwa msisitizo AFRICAN IDAROUS'S duuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete