BONGO FAMILY ENTERTAINMENT


PRESENTS


TID......T.I.D


LAST SHOWDOWN ON VALENTINE WEEKEND IN LEICESTER@LAHORE LOUNGE

23-25 BEDFORD STREET SOUTH IN LEICESTER,


LE1 3JR(BEHIND CHARLES STREET JOB CENTRE)BAADA YA SHOO KABAMBE KWENYE MIJI YA LONDON, BIRMINGHAM,

GLASGOW, MILTON KEYNES

NA SLOUGH


JEMBE LITAKUWA MJINI LEICESTER FOR THE LAST DINNER AND DANCE VALENTINE SHOW FOR COUPLES NA WATU WAZIMA WAPENDANAO


DINNER WILL BE SERVED BTN 8PM-10PM


THEN NI MAMBO YA BANJUKA STYLE HADI 4AM


DONT MISS THE LAST SHOWDOWN


COME EARLY TO AVOID DISAPPOINTMENT


ADMS £10 ALL NITE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tunawachukia wahindi... (bila sababu)... lakini tuzikodi hoteli zao na tule mapochopocho yao!ah ajabu jamani!...kweli dunia ijifunze unafiki kutoka kwetu!!!!

    ReplyDelete
  2. T-shirt ya mdogo wake

    ReplyDelete
  3. mwambiye tid aogee new york mbona mnawapendeleaga sana watu wa london kwanza walaa hoi mwambiye ajee achukue dolla dolla tuko ready kutoa kiingilio dolla mia kwa mtu, bwana mdogo njoo new york au D.C

    ReplyDelete
  4. Michuzi naomba uweke hii taarifa ya Msiba tafadhali:

    TAARIFA YA MSIBA WA JOSEPH NATIANOTA

    Familia ya Bwana na bibi Natianota wa mkwawa road Oysterbay Dar es salaam inasikitika kuwajulisha habari ya kifo cha mtoto wao mpendwa Joseph Natianota kilichotokea leo saa 06:30 mchana katika hospitali ya John Radcliffe Oxford Uingereza, Mipango ya mazishi inafanyika Slough

    57 Ledgers road
    Slough,
    Berkshire,
    SL1 2RQ

    Helbert Maganga 07828763956 Reading

    Onesphoro Makau 07789114089 Slough

    Ngwesa 07826515119 Cardiff

    Raymond Malonga 07767087369 Slough

    Denis Safari 07825163358 Birmingham

    "BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIABUDIWE AMEN."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...